Mpaka hapo nishajua kwamba wewe ndo unavunja ndoa na ndo last option kwako,trust me that imekuwa hivyo kwa sabab kila mmoja kaamua kwenda njia yake! Je,umeshawah waona watoto wanateseka sana na wazazi wote wapo duniani? Msijifikirie nyie tu waangalien na watoto wenu pia. Lakin kwa majibu uliyowajib wadau hapo juu wewe ndo unaonekana chanzo cha matatizo yote haya!
Hebu fafanua hapo kwenye red
Mpaka hapo nishajua kwamba wewe ndo unavunja ndoa na ndo last option kwako,trust me that imekuwa hivyo kwa sabab kila mmoja kaamua kwenda njia yake! Je,umeshawah waona watoto wanateseka sana na wazazi wote wapo duniani? Msijifikirie nyie tu waangalien na watoto wenu pia. Lakin kwa majibu uliyowajib wadau hapo juu wewe ndo unaonekana chanzo cha matatizo yote haya!
Kama ndo hivyo basi ni bora muongee na mmeo na yeye aseme kama anawaza kama wewe,maanake isije kuwa hizo torture za mwaka jana ndo zimekufanya ukawa hivyo sababu akirud kama zaman utampenda! Muhim zaid ni nyie kama mtakubaliana muivunje baasi sawa, lakini inatakiwa muwaze future ya watoto wenu pia!
Ndoa bwana, ukishawaza nje tu, feelings za ndani ya ndoa zinapotea.ndo maana sijielewi nitaishi hivi kwa muda gani? am jus 30, i need to make my life wakati bado mapema
My sista jaribu kutulia usikilizie kwanza kwa kumwambia ukweli mmeo kuwa unakerwa na tabia anazozifanya,ukiona response ni ndogo mwende kwa wazaz mkayazungumze LAKINI inavyoonekana pia na wewe umemchoka mmeo sasa jiulize moyoni kwa nini? Usije taka kuvunja ndoa yako ukaenda kwa huyo mshikaji wako wa zamani na unajua urafiki(uchumba) ni tofauti kuwa na huyo huyo mtu kwenye ndoa? Kwenye urafiki drama ni nying kuliko ndoa ambapo ukweli na uhalisia hujidhihirisha,sasa usije enda huko mambo yakawa magumu kuliko ulikotoka. La MSINGI tatua matatizo ya ndoa yako kwa ushirikiano na mmeo na mmshirikishe sana Mungu ktk matatizo yenu yatakwisha!
Not a clue.. Sijui umeandika kitoto au nimesoma kitoto..
Nzuriiip Dada yangu Ayanda wala haitaji ushauri wenu, kashafanya maamuzi yake mwenyewe alikuwa anawapa taarifa tu wadau kama alivyotoa taarifa ya nddoa.
Kwako Dada mpendwa, maisha ni mafupi weka shida hizo chini nyanyua furaha ilipo kula maisha. Watoto unao, unayemfeel unaye hatakama ni mme wa mtu mbona wako analiwa mpaka kakusahau? Na ww futa ndoa go where ur Heart tell u to go.
Ila mwanangu miaka minne michache sana turudishie chenchi ya michango yetu na zawadi zetu.
inamaana ww unataka kwenda kuvunja ndoa ya watu wengine kutokana na matatizo yako.
kilio cha huyo mke wa 42 kipo juu yako, wamama wengi wanaomba/kufunga (kama ni wakristo) wengine sina uzoef, hiyo laana itakuwa juu yako.
kama umeshindwa kukaa na mumeo wa ndoa tafuta mwanaume asiekuwa na mke ndo ukae nae sio kuvunja ndoa ya mwanamke mwenzio. mwache afaidi ukizingatia hakuna alie kuchagulia.
samahan kama nimekuudhi
haya nimekusikia, basi wenyewe ambao hamjaolewa mnafarijika maskini.
mnafurahi wenyewe kusikia majanga ya ndoa
ha ha ha ha ha
ha haaaa, wewe umesema ni chizi.....mimi mmbea....
chizi anaweza ongea peke yake, mmbea lazima atafuta watu wa kuwapa umbea, upo?
kutokujiamini kwangu hakupo kabisa, ndo maana nikitoa point za maana siiti mtu, ukiona naita watu ujue nawapa maumbea tu hakuna la maana....... umenisoma?
wewe kabla ya kuchukua maamuzi
mshirikishe kidumu chako kwanza ili ajue
si ajabu akakwambia usidai talaka
kumbuka maamuzi yako yata waatjiri wengi pia
lakini hata hivyo tayari umeshaamua so bora umshirikishe yule ambae ana
matter kwako for now
ambae ni huyo wa 42....
all in all hakuna ubaya wa talaka kama ndoa ni stressful zaidi
good luck
Unajua mtoa mada tayari anajua cha kufanya kwani kila aliejaribu kumpa ushauri yeye hauafiki. Pengine wengi tumeshindwa kuielewa mada hasa mimi binafsi.
Kumbe angecheat kisomi/ kitaalam usingejali. Maisha ya ndoa hayajengwi kwa misingi ya kuogopana , hiyo kutompa respect dada siku ukiamua utampa. Sasa unataka huyo wa 42 kisa yuko matured kwani uliolewa na wa 22 au. Anyway follow your intuitive.
Thats why I dont wana rush into this, I will wait for hubby even if I am 40, age is nothing but a number but if you loose your freedom to be happy its hard to regain.
Acha pupa mdada, mwombe mungu aifufue ndoa yako hata hao kina Ex na Z wanakupenda coz uko kwenye ndoa yako,ukiachika hutowaona wala kusikia hata harufu yao. Think twice before you close that door
Mi napenda sana hit and run stress kama hizi zipo likizo kwangu, mi nakung'uta naacha
Kutoa mzigo kwa huyo jamaa ndo kutatatua tatizo la ndoa yako au ???????? Mnataka kuwaumiza watoto?????? Au ndo kutamrudisha mumeo nyumbani????
Ushauri ya BURE... Jiulize mumeo anafata nini kwa huyo dada? mpe mashine asage akitoka hana hamu... Wanawake wengi hujisahau baada ya miaka flani ya kuolewa na mwanaume hutoka nje baada ya kukosa kitu nje na anapoonja nnje hunogewa.
UKIMWI JAMANI NA WATOTO MTAWAACHA NA NANI.????
leo umekuwa mpole best! Mambo vp? Ni aje? Unakumbuka tulishawahi kuchat kipind fulan kuhusu ishu kama hii lkn hatukuelewana, ukasema unachoangalia ni watt, na gud relations na wanajamii.
Unatakiwa uwe ucrudi nyuma kama kweli ulimaanisha ulicho ongeaga. Angalia watt best, wanawake walio wengi wanataman divorce bt cha kwanza kufikiri na watt. Mfano mama yangu alipata shida ktk ndoa yk kwa 28 yrs, akawa ananiambia naangalia wanangu, wasome, wavae vzr na furaha yao ndio yangu.
Ongea suala hili na mumeo, uone atalichukuliaje. Pia angalia wanao wanavyokuwa happy akiona baba na mama amekaa pamoja n.k.
Kingine tunachogombanaga ni hiikiiiii, acha kucheat best yaan utajickia aman nakwambia.
Ni mawazo yangu tu mpendwa.