Ushauri please

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
nataka nimiliki website mbili ambazo watu watakuwa wanafanya online business e commerce je natakiwa niwe na server yangu
 
anza kwanza kutafuta visitors, then ukiweza kuvutia watu wengi ndio fikiria mambo hayo. ila kwa kuanzia kama site ina watembeleaji chini ya 1000 sioni haja hio, hosting za kawaida zinafaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom