ushauri please

ushauri please

unatisha, wa mtandaoni!

Bora umeweka wazi. maana kuna waliosbiri kuja kuolewa mpaka wakazeeka kisa kijana wa mtandaoni toka marekani!
yeah nimeweka wazi ili nipate mawazo mbalimbali
 
Hivi unajua Nyani Ngabu anafanya kazi ikulu? Ndo namfukuzia hapa walau nika-shake hands na Obama wa US (kuna muuza maji kitaa anaitwa 'Bama, lol)
mi naona aendelee na wa mtandaoni.....huwezi jua ni lini utamtembelea Obama.....huyo wa ofisini atakuzengua kudadadeki.....
 
Last edited by a moderator:
Wifi mie mzima. Muambie kakako basi angoje kidogo kuna mchongo wa online nauvizia usipotiki nitarudi. Missing nyingi my wii in future
Wifi hujambo? Usihau kumuaga bro ukienda huko kicheni pati lol

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Aiseeeee......!!
Upo kwenye mtanzao tena....!!
Mambo ya mtandao......!!
"TULIZANA"
 
Wifi mie mzima. Muambie kakako basi angoje kidogo kuna mchongo wa online nauvizia usipotiki nitarudi. Missing nyingi my wii in future

Miss u too habibty mmmmmmwaah...salam zitafika

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Kipendacho moyo ni dawa, so maamuzi unayo mwenyewe, utalaamu wa mkunaji anaufahamu mkunwaji
 
Mtandaoni hakuna mapenzi dada angu zile ni game tu!,mjue kwanza mtu kwa undani kisha ndo umpende!....
 
Nina mahusiano na mtu ambaye tumekutana kwenye mtandao na hatujawahi kuonana, mwanzo tulikuwa tunawasiliana vizuri sana kwa skype, cha ajabu imefika kipindi mawasiliano yamekata na visa vya hapa na pale. hapa ninapofanyia kazi kuna kijana amekuwa akinifuatilia na sasa ni miezi mitatu na ninamuona ana mwelekeo. nimeshindwa kuamua ni mwache huyu ambaye hatujawahi kuonana hata siku moja sababu yeye ni mtanzania na yupo marekani. ushauri wenu wanajamvi

Sweetheart, huyo wa mtandaoni ndio anayechelewesha penzi letu jamani? Niambie tu ili nijue coz mpenzi nimesubiri muda sasa kweli na ulikua huniambii chochote. Lakini uamuzi wowote kwangu ni poa tu.
 
kuwa na wa ofisini, upo nae karibu na ni rahisi kusomana tabia na mienendo kwa vile mpo eneo moja. Huyo wa mtandaoni usikute kaoa, once in a good weather anaingia skype kukuzingua au kupunguza stress zake..pia usikute ana mtu wake tayari.
mapenzi ya mitandaoni ni risk sana tena hujawahi hata kumuona!!
 
mi naona aendelee na wa mtandaoni.....huwezi jua ni lini utamtembelea Obama.....huyo wa ofisini atakuzengua kudadadeki.....

Preta, we unaye wa mtandaoni? usimpoteza mdada, marekani ni gia tu huenda yupo Kigamboni hapo! Halafu kesha kiri longo longo zimeanza kabla hata hawajonana! Jiulize mtandaoni kuna wadada wangapi?
 
Ahaha "My Boyfriend yupo US"....utazeeka

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Preta, we unaye wa mtandaoni? usimpoteza mdada, marekani ni gia tu huenda yupo Kigamboni hapo! Halafu kesha kiri longo longo zimeanza kabla hata hawajonana! Jiulize mtandaoni kuna wadada wangapi?

sina dia ndio natafuta.....naelekea love connect saa hii......
 
Back
Top Bottom