Pole sana na makinika hapo kwenye kumuacha kwakuwa kama ukifanikiwa (am not sure kama utaweza) basi utaharibikiwa mazima cause you never know keshakutengeneza kiasi ganiNina mwanamke ambaye tumedumu nae kwenye mahusiano takribani miaka 5 nasasa tunamtoto mmoja na anamimba ingine nandio nimeanza kuishi nae hivi karibuni mwaka huu huu January. Sasa nimegundua nimshirikina mbwa yaani nishiriki mbwa naposema nimshirikina jamani mnielewe kuwa nimshirikina balaaa nimegundua baada yakuanza kuishi nae. Katika makuzi yangu sikuwahi kuwaza hayo mambo kabisa nawala sijawahi kuomba nipate mwanamke mwenye imani hizo.
NB: nimejaribu mara kadhaa kumkanya ila yeye ndio amekuwa akinishangaa mimi, yaani ananiona kama mshamba flani hivi. Yaani nimeona uwezekano wayeye kubadili mwenendo naona hawezi kubadilika kabisa.
Sasa jamani huyu mwanamke namuachaje natayari mda sio mrefu atakuwa nawatoto wawili namimi? Naameshaniambia kumuacha haiwezekani labda yeye ndio aamue. Naombeni ushauri jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana Jr sasa nifanyaje hapo jamaniPole sana na makinika hapo kwenye kumuacha kwakuwa kama ukifanikiwa (am not sure kama utaweza) basi utaharibikiwa mazima cause you never know keshakutengeneza kiasi gani
Jr[emoji769]
Baki na Mungu wako... Mengine wakati utasema
If you cant beat them mkuu,join them!
Asanteee, mbaya zaidi mama yake ndio mshirika mwenzakeDah!Pole sana Mkuu. Omba sana nahisi ndo jambo pekee litakalokusaidia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]If you cant beat them mkuu,join them!
Anza Kusali kuwa mlokole Mda wote maombi.... atakimbia mwenyewe [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nina mwanamke ambaye tumedumu nae kwenye mahusiano takribani miaka 5 nasasa tunamtoto mmoja na anamimba ingine nandio nimeanza kuishi nae hivi karibuni mwaka huu huu January. Sasa nimegundua nimshirikina mbwa yaani nishiriki mbwa naposema nimshirikina jamani mnielewe kuwa nimshirikina balaaa nimegundua baada yakuanza kuishi nae. Katika makuzi yangu sikuwahi kuwaza hayo mambo kabisa nawala sijawahi kuomba nipate mwanamke mwenye imani hizo.
NB: nimejaribu mara kadhaa kumkanya ila yeye ndio amekuwa akinishangaa mimi, yaani ananiona kama mshamba flani hivi. Yaani nimeona uwezekano wayeye kubadili mwenendo naona hawezi kubadilika kabisa.
Sasa jamani huyu mwanamke namuachaje natayari mda sio mrefu atakuwa nawatoto wawili namimi? Naameshaniambia kumuacha haiwezekani labda yeye ndio aamue. Naombeni ushauri jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Its obvious, unadhan angeutoa wap km sio kurithishwa?
Aiseee kazi kweli, ila hilo lisikusumbue kama upo na unamuamini Mungu haitakusumbua hata kidogo. Jikite kwenye maombi, kama ni mkristo sio mbaya kama ukajiunga na vikundi vya sala na muda mwingine mkawa mnafanya maombi hapo nyumbani kwenu trust me hayo mambo madogo tu .