Ushauri please!

Ushauri please!

Mimi tukiwa kazini na partner wangu tulimnote mrembo mmoja, ila Mimi ndio niliwahi kuomba no na kumtokea, ila dem alikua na ukabila hivyo nikampasia mwenzangu mana yeye na Huyo dem kabila moja, sasahivi dem amerudisha majeshi kwangu ananitaka, lakini HEKIMA inaniambia nikimla urafiki na mfanyakazi mwenzangu ndio baas, kwaiyo nakaa pembeni, u can do the same, ila unaeza mwambia aachane nae hadharani ili ukabe roof, ila either way hatapenda, yani its a man's rule you don't go about your friend's ex, chagua kimoja urafiki au dem

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ni kitu ambacho kiko fair sana.
Kila kitu unachofanya iwe kwa wazi au kwa siri, LAZIMA
utavuna matunda yake. LAZIMA - hata kama sio leo.

Maamuzi madogomadogo tunayofanya siku hadi siku, KWA HAPO UNAPOFANYA inaonekana kama hujabadili chochote.
Lakini tone moja jumlisha na la pili jumlisha na la tatu, nk, yanajaza bwawa.

Maamuzi chanya, yatakuzalia matunda chanya.
Maamuzi hasi, yatakuzalia matunda hasi.

LAZIMA!

You may succeed to hide from people; you can NEVER hide from life itself.
Na tunajua,
kipi sahihi, kipi si sahihi kufanya.
Fact

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom