Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,357
- 108,488
Ukweli siku zote ni uhuru au umuweka mtu huru...
Kuukubali huo ujauzito hakutabadili ukweli kuwa huyu bi mkubwa kabeba kiumbe cha mtu mwingine...
Mara nyingi mimba zisizotarajiwa huwa
zinabebwa hatiani, yaani tamaa ya pombe
na kujirusha ndio iliyopelekea haya yote...
Kwa lugha nyepesi ni kuwa tamaa zake za pombe na kujirusha ndio chanzo cha haya yote na zaidi ya yote pengine hata umedanganywa namna nzima ya mazingira yaliyopelekea ujauzito...
Mimi nakushauri jambo moja usibebe mizigo isiyokuhusu, kama ni nafasi yako kama rafiki umeshaifanya kwa kumuhusia asitoe ujauzito...