USHAURI PLEASE:NINUSURU UHAI AU NIMWACHE ATOE MIMBa

Pure Mathematics

Senior Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
174
Reaction score
52
Habari za muda huu wungwana.. Kuna msichana ambae tuna urafiki wa karibu (sio wapenzi) ila kwa ukaribu wetu baadhi ya watu wanahisi tunagegedana. Ni msichana ambae anapenda kujirusha..it happened siku hiyo ameenda club akiwa na mvulana ambae alishawahi kumtongoza (ila hakuwahi kumkubali).. Katika kunywa yasemekana aliwekewa dawa ambazo zilimlevya and she was unconscious.. Yule boy akatumia hiyo opportunity akakokotana nae hadi kunako ghetto na akasex nae bila ridhaa, ndipo mimba ilipotungwa.. Akiwa kama rafiki yangu nilishawahi kumshauri ajitahidi kutopata unplanned pregnant kwa kutumia njia zote (including calendar) but sio vidhibiti mimba (coz I know madhara).. Nikamsisitiza if it happen akapata mimba, asithubutu kufanya abortion (coz binafsi inaniuma sana nikisikia mtu kafanya abortion--kuua kiumbe kisicho na hatia).. Sasa amenisimulia mkasa mzima na ameniambia she hate that boy na asingependa ajulikane kwa wazazi, ndugu wala jamaa zake.. Kwa kuwa kila mimba ina baba, lazima ataulizwa aliemtia mimba, kitu ambacho yaye hataki coz hampendi huyo kijana.. So amekuja kuniambia ataitoa hiyo mimba, maisha yaendelee, hataki kuwakwaza wazazi na ndugu zake..if its mistake ameshafanya!!! Last word ameniambia kama natetea uhai wa hicho kiumbe nikubali kubebeshwa huo mzigo but she keep the secret coz hajamwambia huyo kijana kuhusu mimba.. Kuhusu matunzo anajua jinsi ya kustrugle.. So naomba ushauri wenu wanabodi, nikubali kuwa artificial father ili ninusuru uhai wa hicho kiumbe au nikung'ute mavumbi---(niache wafu wazike wafu wao)--its a 1 month pregnancy--------------------------------------------------------------------------NB: THIS IS A TRUE STORY
 
bofya hapa, sheria kwa kiswahili kutoa mimba zaidi ya kuwa dhambi mbele za mungu, kidunia ni kosa la jinai. Ndani ya icho kitabu kimeongelea yote hayo ikiwa ni pamoja na haki katika ndoa, mahusiano, watoto etc. Usije kumshauri atoe mimba kwasababu damu ya huyo kiumbe itakuwa mikononi mwako pia.

mkuu sijamshauri atoe mimba ila yeye amenipa condition nikubali akiulizwa baba wa mtoto aseme ni mimi, otherwise hayupo tayari kumtambulisha aliempa mimba, so ataitoa
 
Kama utahakikisha kwao hawatakuletea vurugu kubali.Lakini pia muwekane sawa ikiwezekana kimkataba majukumu na haki za kila mmoja wenu including mtoto ili usijesumbuliwa siku moja.Kuwa na mtoto ni baraka.U never know ukikinusuru hicho kiumbe Mungu atakubariki vipi
 
huo ndio mtihani wa kwanza...
 
wewe moyo wako unasemaje..unapenda hiyo nafasi ya kuwa baba???pia kuna kitu gani kinachoendelea kati yenu na huyo mdada mpaka ajiamiini kiasi hicho cha kukutaja wewe.kuua kiumbe kisichokuwa na hatia ni dhambi.na pia kumficha ukweli baba juu ya mwanae na mtoto juu ya baba yake halisi ni kuwanyima haki zao za msingi.kama kweli huyo mkaka anampenda huyo mdada basi hiyo mimba ataikubali na kuilea.huyo mdada aache chuki binafsi na inavyoonyesha huyo mdada anakupenda wewe so anatafuta njia ya kukuweka kalibu nae.madhara ya kuwaficha watoto wazaz halisi ndo kunapelekea mwisho waje kuoana ndugu bila kujua.
 
Sina la kuongeza umemaliza!
 
Acha ubwege ukikubali kuwa mimba ni yako utafungishwa ndoa ya mkeka! Koma kabisa kwani mwenye mimba ana matatizo gani km hampendi alikubali vp kwenda nae out? Ww jichanganye haki nakwambia utalazimishwa ndoa make dem keshaona ww unamfaa huko alipotea njia
mkuu sijamshauri atoe mimba ila yeye amenipa condition nikubali akiulizwa baba wa mtoto aseme ni mimi, otherwise hayupo tayari kumtambulisha aliempa mimba, so ataitoa
 
Daaa mbona hiyo ni ligi. Wewe utakubalije mtoto sio wako??? Afu mbona kama unamtetea huyu dada???.
Then huyo dada alipogundua hilo siku hiyo kwanin asingepata pills za kuzuia hadi angojee 1month????.
Jaman mbona majanga mengne ya kujitakia???. Hapo sijui inakuaje eti....
 
Uhai wa binadamu huanza Mimba inapoingia,kutoa mimba ni dhambi na mshahara wa dhambi ni mauti.
 
wewe moyo wako unasemaje..unapenda hiyo nafasi ya kuwa baba???pia kuna kitu gani kinachoendelea kati yenu na huyo mdada mpaka ajiamiini kiasi hicho cha kukutaja wewe.kuua kiumbe kisichokuwa na hatia ni dhambi.na pia kumficha ukweli baba juu ya mwanae na mtoto juu ya baba yake halisi ni kuwanyima haki zao za msingi.kama kweli huyo mkaka anampenda huyo mdada basi hiyo mimba ataikubali na kuilea.huyo mdada aache chuki binafsi na inavyoonyesha huyo mdada anakupenda wewe so anatafuta njia ya kukuweka kalibu nae.madhara ya kuwaficha watoto wazaz halisi ndo kunapelekea mwisho waje kuoana ndugu bila kujua.
---Asnte mkuu kwa hii useful advice...binafsi sitakua huru kuwa artificial father as if baba halisi is dead, but also sitakua na amani akifanya abaortion japo sijamshauri afanye abortion... For more than 2 years nimekua karibu na huyu dada na nimekua namshauri mambo mengi ya msingi that's why ananiapreciate na kuniambia hatasiri zake (nothing more in between us).... Siwezi kuusemea moyo wake but inawezekana ni kweli ananipenda sema tulishawekeana mipaka katika relationship yetu, inawezekana anataka kutumia hiyo kama loophole..
---naendele kujitahidi kumshawishi amweleze ukweli mwenye huo ujauzito but anaonekana rigid kukubali..na anasisitiza hataki ajulikane kwao coz hampendi na ni dini tofauti...yeye ni mkristo, mwanaume ni mwislam
 
maswala ya dini hayahusiani na malezi ya mtoto.wanaweza hata kufunga ndoa ya bomani/serikali na kila mtu akaendelea na dini yake.mtu hamtaki alafu vinywaji vyake anakunywa.kwastahili hiyo atakuletea watoto wengi akitaka uwebaba yao kisa aliwatafuta akiwa amelewa.au atatoa mimba nyingi sana.na inaonyesha ni mzoefu sana wa hilo.mda mwengine na waza wanawake wanaotoa mimba nawao wafe hapohapo(mungu anisamehe kwa mawazo yangu mabaya) wanashidwa kujiuliza wao wangetolewa na mama zao wangekuwepo??dahhhh kuna watu wanahangaika usiku na mchana kutafuta watoto alafu wao bila aibu wanataka kutoa...na akiitoa hiyo mimba asizae teeeenaaaaaa..alaaaaa
 
Habari za muda huu wungwana.. Kuna msichana ambae tuna urafiki wa karibu (sio wapenzi) ila kwa ukaribu wetu baadhi ya watu wanahisi tunagegedana. Ni msichana ambae anapenda kujirusha..it happened siku hiyo ameenda club akiwa na mvulana ambae alishawahi kumtongoza (ila hakuwahi kumkubali).. Katika kunywa yasemekana aliwekewa dawa ambazo zilimlevya and she was unconscious.. Yule boy akatumia hiyo opportunity akakokotana nae hadi kunako ghetto na akasex nae bila ridhaa, ndipo mimba ilipotungwa.. Akiwa kama rafiki yangu nilishawahi kumshauri ajitahidi kutopata unplanned pregnant kwa kutumia njia zote (including calendar) but sio vidhibiti mimba (coz I know madhara).. Nikamsisitiza if it happen akapata mimba, asithubutu kufanya abortion (coz binafsi inaniuma sana nikisikia mtu kafanya abortion--kuua kiumbe kisicho na hatia).. Sasa amenisimulia mkasa mzima na ameniambia she hate that boy na asingependa ajulikane kwa wazazi, ndugu wala jamaa zake.. Kwa kuwa kila mimba ina baba, lazima ataulizwa aliemtia mimba, kitu ambacho yaye hataki coz hampendi huyo kijana.. So amekuja kuniambia ataitoa hiyo mimba, maisha yaendelee, hataki kuwakwaza wazazi na ndugu zake..if its mistake ameshafanya!!! Last word ameniambia kama natetea uhai wa hicho kiumbe nikubali kubebeshwa huo mzigo but she keep the secret coz hajamwambia huyo kijana kuhusu mimba.. Kuhusu matunzo anajua jinsi ya kustrugle.. So naomba ushauri wenu wanabodi, nikubali kuwa artificial father ili ninusuru uhai wa hicho kiumbe au nikung'ute mavumbi---(niache wafu wazike wafu wao)--its a 1 month pregnancy--------------------------------------------------------------------------NB: THIS IS A TRUE STORY

Nilivyoona nilijua kuwa akibaki na huo ujauzito anaweza kupata complications wakati wa kujifungua, kumbe lengo ni kuficha madhambi yake. Ukiunganisha dots utagundua mimba hiyo si bahati mbaya sana. Ushasema anapenda kujirusha, sasa kujirusha siyo uchaMungu, ndani yake kuna Satanic deeds, ndani ya kujirusha waweza kupata HIV, so asitoe, ni matunda ya kujirusha, akubali matokeo, na mwisho wa siku aliye mpa mimba ndo baba wa mtoto hatq kama angekuwa ni kichaa!
 
Habari za muda huu wungwana.. Kuna msichana ambae tuna urafiki wa karibu (sio wapenzi) ila kwa ukaribu wetu baadhi ya watu wanahisi tunagegedana. Ni msichana ambae anapenda kujirusha..it happened siku hiyo ameenda club akiwa na mvulana ambae alishawahi kumtongoza (ila hakuwahi kumkubali).. Katika kunywa yasemekana aliwekewa dawa ambazo zilimlevya and she was unconscious.. Yule boy akatumia hiyo opportunity akakokotana nae hadi kunako ghetto na akasex nae bila ridhaa, ndipo mimba ilipotungwa.. Akiwa kama rafiki yangu nilishawahi kumshauri ajitahidi kutopata unplanned pregnant kwa kutumia njia zote (including calendar) but sio vidhibiti mimba (coz I know madhara).. Nikamsisitiza if it happen akapata mimba, asithubutu kufanya abortion (coz binafsi inaniuma sana nikisikia mtu kafanya abortion--kuua kiumbe kisicho na hatia).. Sasa amenisimulia mkasa mzima na ameniambia she hate that boy na asingependa ajulikane kwa wazazi, ndugu wala jamaa zake.. Kwa kuwa kila mimba ina baba, lazima ataulizwa aliemtia mimba, kitu ambacho yaye hataki coz hampendi huyo kijana.. So amekuja kuniambia ataitoa hiyo mimba, maisha yaendelee, hataki kuwakwaza wazazi na ndugu zake..if its mistake ameshafanya!!! Last word ameniambia kama natetea uhai wa hicho kiumbe nikubali kubebeshwa huo mzigo but she keep the secret coz hajamwambia huyo kijana kuhusu mimba.. Kuhusu matunzo anajua jinsi ya kustrugle.. So naomba ushauri wenu wanabodi, nikubali kuwa artificial father ili ninusuru uhai wa hicho kiumbe au nikung'ute mavumbi---(niache wafu wazike wafu wao)--its a 1 month pregnancy--------------------------------------------------------------------------NB: THIS IS A TRUE STORY

Hivi kweli mtu umemkataa alafuanakuomba utoke nae out nawe unakubali?Nna mawazo mawili,either huyo dada alikua anampenda jamaa au anapenda hela za jamaa na ndio maana akaamua kutoka nae out na hata kutoka muda wa usiku mana kutoka na mtu usiku ni yule unaemuamini, Tamaa imemponza.

On your side unaweza kukubali sasa hivi na kuona ni vizuri ila baadae it will cost you alot mana baadae ukweli utakuja kugundulika na utaona aibu mbele ya dunia na kama kutoa nako sio jambo zuri,Je mamake nae angemtoa au akitoa na kupoteza kizai then atamtunzia nini mme wake mtarajiwa?Kaka mchane yeye kua hauwezi kua kiberenge chake na at the same time hauungani nae mkono katika kutoa hiyo mimba na kama wewe ni Shoga yake mfiche ila tim will time and time will tell.

Kumbuka kua ukweli unamfanya mtu awe 100% huru so do the right thing at the right time na usifanye kitu baadae ukaanza kujihukumu.

God bless you na akuongoze katika kumshauri vizuri
 
wewe moyo wako unasemaje..unapenda hiyo nafasi ya kuwa baba???pia kuna kitu gani kinachoendelea kati yenu na huyo mdada mpaka ajiamiini kiasi hicho cha kukutaja wewe.kuua kiumbe kisichokuwa na hatia ni dhambi.na pia kumficha ukweli baba juu ya mwanae na mtoto juu ya baba yake halisi ni kuwanyima haki zao za msingi.kama kweli huyo mkaka anampenda huyo mdada basi hiyo mimba ataikubali na kuilea.huyo mdada aache chuki binafsi na inavyoonyesha huyo mdada anakupenda wewe so anatafuta njia ya kukuweka kalibu nae.madhara ya kuwaficha watoto wazaz halisi ndo kunapelekea mwisho waje kuoana ndugu bila kujua.

u hv said it all
tuambie ukweli km ww ba hyo dada hamba hisia?
 
mpe live mzigo hubebi na haumshauri atoe.
hyo itakucost
 
yaani kagegedwa kisa kapelekwa club na pombe?wewe asikuchoshe kukubebesha matatizo yake kwa ujinga wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom