Blessed Jr
Senior Member
- Nov 17, 2016
- 134
- 236
Habari zenu wadau,
Samahani,
Pete nzuri ya kumvisha Mtoto wa Kike (Engagement Ring), ni ya aina gani? (Silver au Gold?
Na inatakiwa iwe na gram ngapi?
NB:Take it serious.
Price range?Pete nzuri ni gold na kama silver basi iwe na kidani cha Tanzanite/almasi
Gram inanzie tatu.
Kila la kheri
Akaulizie kwa masonara huko,mfuko wake utaamua.Price range?
Hii sio bei ya Vits kweli?!Nunua princess cut diamond wedding ring.
Hii sio bei ya Vits kweli?!
Andaa kuanzia 1m na kuendeleaPrice range?
Haya mavitu siyajui kabisa. Naonaga bei kubwa tu.Princess cut mara nyingi budget yake huwa ni kubwa [relatively speaking].
Ukiwa na muda wa ku shop around unaweza ukabahatisha bei yenye nafuu kulingana na uwezo wako.
Ila kwa uzoefu wangu, ukitaka kum 'wow' mdada basi mnunulie princess cut diamond ring.
Lakini kwanza ni lazima huyo mdada awe na exposure na ufahamu wa princess cut ni nini.
Kibongo bongo sidhani kama wengi hata wanajua hicho ni kitu gani achilia mbali uthamani wake.
Ningeweza ku suggest atafute round brilliant cut lakini....
I hate you....Nunua princess cut diamond wedding ring.
I hate you....
Ooh yeesDo you really?
Ooh yees