Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,479
- 9,020
Eeh..mtaa gani huo vyumba viwili elfu 60?
nawe unashangaa nini sasa hapo, unahisi ni cheap sana? Tandale unapata ata chini ya bei hiyo, kinondoni shamba, Tandika, Ubungo, Tabata, n.k. it depends na status ya nyumba yenyewe