Habari za wikiend wana Jf,
Nyumba niliyopanga naona ina kero nyingi nafikilia kuhama ila nimebakiza miezi 3 kodi iishe kwa mwezi nalipa 60000 vyumba viwili.
Kero zenyewe ni:
Inaingiza vumbi sana mda mwingi naona TV na radio na vyombo vingine ndani vina vumbi japo mlango haushindi wazi na madirisha yana mapazia na mda wote yanakuwa yamefungwa.
Kero ya pili kuna mbu wengi kutokana na nyumba kuwa na miti mingi na maua mengi hivyo inabidi kila siku kupulizia dawa mpaka nimeamua kununua kifaa kile cha umeme cha kuulia mbu lakini wapi.
Kero ya tatu mama mwenye nyumba anatabia ya kuingia kwa wapangaji ghafla eti anakagua nyumba yake. Kero ya nne kodi ya umeme natoa 25000 kwa mwezi na 15000 ya maji. Matumizi haya yalivyo makubwa mimi sishindi nyumbani na naishi peke yangu.
Ushauri wenu mhimu sana.