Ushauri nitakuwa Dubai kwa siku 5 nichukue biashara gani budget 6000UsD

Panda Metro Train mpaka Baniyas Square station shuka, right opposite utakuta bustani muulize yeyote hapo bustanini yalipo maduka karibu na mabasi ya kwenda SHARJAH. Ni kama Kariakoo flani hv huko utakutana na Wanaija ndo madalali. Kama umefanya shopping kubwa wewe waachie address ulipofikia/hotel watakuletea hapo ulipofikia na ndo utawalipa hela yao.
Albaraha, dah unanukumbusha mbali sana
 
Back
Top Bottom