Ushauri: Nisome Masters UDOM au Jordan University?

Hata kwa hilo swali napata hofu na hiyo masta yako

Nenda yudom
 
Kweli kabisa.
Yote yalinikuta. Wanaongea tofauti hujui uchukue lipi, ukienda kwa huyu ni tofauti na huyu.
Pale udom
 
Km uko kwenye ajira na unafanya biashara zako umeamua kujiongeza usijisumbue nenda Jordan usipoteze mda kama unataka tu kusoma na hauna hili walile kasome huko Udom nasisitiza tena fata ushauri wangu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baba zama Jordan chap hawa wananzengo wa UDOM achana nao
 
Nenda Jordan.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilitaka nikuite ili umshauri mtoa mada ila nikasema ngoja kwanza nisome Comments pengine itakuwa ulishapita
Ni kwanini aende Jordan lakini
 
eti SUA😁😁😁😁,aliyewadanganya watanzania kuhusu SUA auwawe haraka.
SUA kuna tatizo gan mkuu? Binafsi naona SUA inahitaji kukarabatiwa upya kwa maana mazingira si rafiki ya kusoma pale, chuo kimechoka sana.
 
Mradi kukomoa tu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilitaka nikuite ili umshauri mtoa mada ila nikasema ngoja kwanza nisome Comments pengine itakuwa ulishapita
Ni kwanini aende Jordan lakini
Kwakweli aende tu huko kwa usalama wa afya yake ya akiliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…