ni moja wapo ya namna ya kukazia uzi hamchelewi kusema ni jobless kisa tu 90k imempiga chenga.kwani bila kutaja kazi yako na kazi yake usingepata ushauri?
Sina uhakika kama wewe kweli ni mwl,kama ni kweli basi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo na ndo maana watoto wetu wanafeli sn.Unasema ni mchepuko mara asikuone kama huna future naye.Najiuliza wewe umeoa au hujaoa? Na je yeye kaolewa au hajaolewa.Maana unavyoongea ni kana kwamba kuna mpango wa kuja kuwa mke na mme,na kama ni hajaolewa na wewe hujaoa unamwitaje mchepuko? Au hujui neno mchepuko linatumikaje.Tatizo umejikweza kuwa unazo wakati huna.Narudia kama kweli wewe ni mwl basi elimu ya tz ina changamoto nyingi.Umoufia kwenu!
Wakuu nina shida ya kifedha na nimekwama kabisa kupata fedha kutoka vyanzo vingine ingawa nina uhakika 101% kwamba mchepuko wangu ana uwezo wa kunikopesha kiasi cha fedha (Tsh 900,000) ninachihitaji kumlipia mwanangu karo ya shule. Kama mjuavyo shule zitafunguliwa jumatatu hii ya tarehe 29/04/2019 na mzazi ambaye hajalipa ada mtoto wake hatachukuliwa na basi ya shule.
Lakini kila nikifikiria kumu-approach mchepuko huyu roho inakataa. Unajua mazoea yana taabu sana. Mimi siku zote nimekuwa nikijionyesha kutokuwa na shida ya pesa, hasa linapokuja suala la matumizi kwa ajili ya mchepuko wangu. Mchepuko ni mhasibu mwandamizi katika benki moja maarufu hapa Dar wakati mimi ni mwalimu wa shule ya sekondari katika Wilaya ya Kinondoni. Nina uhakika kuwa uwezo wa kunikopesha hata 1M leo anao, lakini nitaanzaje?
Kuna wakati nahisi kuomba fedha kwa mchepuko ni ishara ya UDHAIFU au kwamba anaweza kuniacha….kwa kudhani kuwa mimi sina manufaa yoyote kwake in future. Kwa kweli nipo njia panda. Najiuliza: Akikataa kunipa hizo fedha kisha akalala mbele, ina maana nitakuwa nimekosa vyote….chekeli na mbunye. Nami siko tayari kumkosa mwanamke huyu kwa gharama yoyote ile.
Swali jengine najiuliza: Je, nione aibu kuomba fedha dogo ashindwe kuhudhuria masomo hadi nikipata fedha from another source? Naona nitakuwa sijamtendea haki dogo kwa kumkosesha masomo. Sasa nifanyeje?
Naomba ushauri wenu katika hili maana niko njia panda. Sitaki kumpoteza mchepuko wala sitaki dogo akose masomo kwa uzembe wangu. Mnanishaurije?
Mwambie mapema leo kabla shule haijafunguliwa ili lijulikane moja kama unapata au haupati..
Itisha mgegedo wa dharula kisha baada ya shughuli, weka wazi kuwa dogo anatakiwa aende shule ila umekosa doo. Mpe hakikisho kwamba umekwama ila utamrudishia ukizinyaka
kwani bila kutaja kazi yako na kazi yake usingepata ushauri?
Nyie walimu mmepata mshahara Jumamosi tarehe 19 sasa umeshindwa kuibana ukaachana na matumizi yasiyokuwa na lazima umekaa unamtolea macho mfanyakazi mwenzio huo ni udhaifu na utajichoresha sana. Mwananume usiwe kilialia ukiona kichaka mavi yanakubanaUmoufia kwenu!
Wakuu nina shida ya kifedha na nimekwama kabisa kupata fedha kutoka vyanzo vingine ingawa nina uhakika 101% kwamba mchepuko wangu ana uwezo wa kunikopesha kiasi cha fedha (Tsh 900,000) ninachihitaji kumlipia mwanangu karo ya shule. Kama mjuavyo shule zitafunguliwa jumatatu hii ya tarehe 29/04/2019 na mzazi ambaye hajalipa ada mtoto wake hatachukuliwa na basi ya shule.
Lakini kila nikifikiria kumu-approach mchepuko huyu roho inakataa. Unajua mazoea yana taabu sana. Mimi siku zote nimekuwa nikijionyesha kutokuwa na shida ya pesa, hasa linapokuja suala la matumizi kwa ajili ya mchepuko wangu. Mchepuko ni mhasibu mwandamizi katika benki moja maarufu hapa Dar wakati mimi ni mwalimu wa shule ya sekondari katika Wilaya ya Kinondoni. Nina uhakika kuwa uwezo wa kunikopesha hata 1M leo anao, lakini nitaanzaje?
Kuna wakati nahisi kuomba fedha kwa mchepuko ni ishara ya UDHAIFU au kwamba anaweza kuniacha….kwa kudhani kuwa mimi sina manufaa yoyote kwake in future. Kwa kweli nipo njia panda. Najiuliza: Akikataa kunipa hizo fedha kisha akalala mbele, ina maana nitakuwa nimekosa vyote….chekeli na mbunye. Nami siko tayari kumkosa mwanamke huyu kwa gharama yoyote ile.
Swali jengine najiuliza: Je, nione aibu kuomba fedha dogo ashindwe kuhudhuria masomo hadi nikipata fedha from another source? Naona nitakuwa sijamtendea haki dogo kwa kumkosesha masomo. Sasa nifanyeje?
Naomba ushauri wenu katika hili maana niko njia panda. Sitaki kumpoteza mchepuko wala sitaki dogo akose masomo kwa uzembe wangu. Mnanishaurije?
ni moja wapo ya namna ya kukazia uzi hamchelewi kusema ni jobless kisa tu 90k imempiga chenga.
Sina uhakika kama wewe kweli ni mwl,kama ni kweli basi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo na ndo maana watoto wetu wanafeli sn.Unasema ni mchepuko mara asikuone kama huna future naye.Najiuliza wewe umeoa au hujaoa? Na je yeye kaolewa au hajaolewa.Maana unavyoongea ni kana kwamba kuna mpango wa kuja kuwa mke na mme,na kama ni hajaolewa na wewe hujaoa unamwitaje mchepuko? Au hujui neno mchepuko linatumikaje.Tatizo umejikweza kuwa unazo wakati huna.Narudia kama kweli wewe ni mwl basi elimu ya tz ina changamoto nyingi.