Ushauri: Ninunue smartphone gani kwa bajeti ya 200,000/-?

Ushauri: Ninunue smartphone gani kwa bajeti ya 200,000/-?

ongeza 50k uchukue spuck plus k9.iko pouwa sana. hutajutia,
camera nzuri.
utunzaji wa charge.
iko pouwa zaidi
 
njoo nikupe Tecno C8 isiyo na tatizo lolote lile kwa 170000 tuu.
 
hivi kwa nini watu wanapenda au awajui kua hizi chepset MTK sio poa maana zikimaliza mwaka bahati sana.maana zinachoka haraka.na kushambuliwa na virus.mf jiulize smsung s2 ina miaka mingapi ktk upigaji kazi alafu tafuta MTK uone majanga
 
Back
Top Bottom