Uko wap johNjoo nikupe yngu Samsung S5 nmeichoka tuu nayo Iphone sahv
Nipo Tegeta ila nw npo job.Uko wap joh
bei gani?Nina sumsumg j5 kama upo tayari piga 0655634017
upo wapi mkuu..?Njoo nikupe yngu Samsung S5 nmeichoka tuu nayo Iphone sahv
hv Tecno W5 ... Unawezapata new kwa laki 2..?Techno lite W5
weka picha basi mkuu.. Maana hzo simu nyngine ni adimu sana mikononi mwa watu... Wanunuzi tupo...mimi nauza X-Tigi V_10.
bei ni shilingi laki moja. maelewano yapo.. 0628 380 353
ingia zoom angalia smart phone na price zake then fanya maamuzi mwenyeweninataka ninunue smartphone. nina laki mbili, naomba kujua naweza kupata simu ya aina gani kwa ela hiyo ambayo ni nzuri.