Ushauri: Ninunue gari aina gani?

Ushauri: Ninunue gari aina gani?

Vipi kuhusu NISSAN MURANO NA NISSAN DUALIS, gari hizo binafsi nazipenda sana lakini ni gari adimu sana mtaani inaelekea watu hawazipendi. Naomba kujuzwa tatizo au uzuri wa gari hizo. Asante.
Nikiona Nissan Murano moyo wangu unalipuka!

Nalipenda hilo gari mungu tu anajua...
 
Hivi kumbe Kluger libana matumizi ya mafuta, mimi huwa naliogopa kwa sababu naliona ni gari kuuuuuuuubwa, linanitisha.
Klugger V ile ipo vizuri tu haimuzi sana upande wa mafuta.

Tunaita "a 7 seater SUV with an awesome 3.5 litre v6 engine".

Kama wewe ni mtu wa kusafiri na familia au ndugu. Hili gari ni nzuri ukizingatia Klugger ina Dual VVT-i (Dual Variable Valve Timing with intelligence)

Iko vizuri tu.
 
nunua scavater or focallift ukiwa na pesa ndogo kabisa nunua tinga tinga yako vzur xna hayo
 
Wakuu, Ni naomba ushauri juu ya Aina ya gari la kununua nikija Tanzania na vigezo ni Hivi,
1 . liwe na fuel consumption Nzuri.
2. Lisiwe Dogo sana, kama passo mfano,
3. Liwe na mwendo Mzuri na
4. Uwezo wa Kwenda Masafa marefu.
Nunua grand Vitara hutojuta
 
Back
Top Bottom