Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,288
- 18,579
Vifo vinatokea kila siku.
Huko shamba hachangamani na watu... au kama atachangamana na watu basi ni watu aliotoka nao nyumbani kwake...Umeandika vizuri lakini umejichanganya hapo uliposema mtu aende shamba wakati tayari yupo kwenye lockdown.
Au na wewe hujui maana sahihi ya lockdown ?
baada ya kuona kwamba huku mitandaoni tunatishana sana sasa nasitisha kutembelea JF mana humu ni mwendo wa kupandishana presha tuu. Kama ebola ilipita, zika ilipita basi THIS TOO SHALL COME TO PASS, TUSITISHANE.
Serikali inapaswa kuchukua hatua zifuatazo kulinda watu wake...
Ukweli uliowazi, mamilioni ya watanzania ni masikini wanaohitaji msaada wa Serikali maana hata ukiwaambia wajiandae hawana cha kufanya..3
- Wenye madeni kwenye taasisi za kibenki wasilipe kwa miezi 3.
- Mitandao ya simu ishushe bei ya vifurushi ziwe chini kwa miezi 3.
- Serikali iondoe bili za maji na luku kwa miezi 3.
- Serikali na makampuni zitoe nusu mshahara wa miezi mitatu usio na kodi wala makato mengine.
Benki zote na mitandao ya simu iondoe makato yote wakati wa transaction yeyote katika kipindi cha miezi mitatu.
Serikali iweke limit ya miamala ya fedha kwa watu wote kwa siku.- Hospitali zote zitoe matibabu kwa miezi 3 bure.
- Serikali ianze kudeploy wanajeshi na magari mitaani kama mazoezi ya kuserve jamii hali itakapokuwa mbaya.
- Serikali iwaite haraka kazini wale JKT wote walioko mtaani.
- Serikali isajili haraka wafanyakazi wa kujitolea kwa miezi sita.
- Serikali itoe haraka boti za polisi, jeshi na meli za jeshi ziende kuvua samaki na kuwaweka stock in cold rooms.
- Serikali ikodishe haraka meli tatu za uvuvi kwa hata contract ya mwaka tuweke stock ya samaki.
- Idara ya wanyama poli ianze haraka kustock nyama pori kama swala, pofu, nyati nk.
Mkuu hauna data za Korea kaskazini? Vip kuhusu jamaica*Kwa wale tunaofikiri wagonjwa 19 wa Covid 19 kwa Tanzania bado SIO SERIOUS!![emoji848] Hebu tuangalie wenzengu wa nchi nyingine walikotoka wiki tatu zilizopita*
[emoji634] Italy
February 21 2020 - 21 cases
March 27 2020 - 86,498 cases
[emoji631] United States
February 21 2020 - 16 cases
March 27 2020 - 100,037 cases
[emoji632] France
February 26 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 32,964 cases
[emoji629] Germany
February 25 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 50,178 cases
[emoji633] Spain
February 27 2020 - 25 cases
March 27, 2020 - 64,059 cases
[emoji1130] Iran
February 19 2020 - 5 cases
March 27 2020 - 32,332 cases
South Africa [emoji1221]
March 1 2020 - 1 case
March 27 2020 - 1,170 cases
*Tupo pale wenzetu walipokuwepo wiki mbili tatu zilizopita.*
*Kama hatutajitahidi kujikinga nasi tutafika huko*.[emoji22]
*Watanzania wenzangu tujitahidi kuzuia muendelezo wa maambukizi ya Covid 19 kwa kuzingatia njia tunazoelekezwa na wizara.* .
*Ni jukumu lako wewe na mimi! Tuzingatie*[emoji1431]
Jr[emoji769]
Kwa haya uliyo shauri hata kama yako sawa unahisi kuna nchi masikini huku Afrika inaweza? Waafrika wangapi wenye aset? Huku Afrika huwezi fungia watu ndani,hilo litakua ni janga la kuzidi Corona yenyewe
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Hizo namba unawezaje kuzikumbukaHuko shamba hachangamani na watu... au kama atachangamana na watu basi ni watu aliotoka nao nyumbani kwake...
Nchi ipi mwanaWakuu mimi tayari nipo kwenye nchi wameshafunga mipaka na maduka yanayofunguliwa ni ya chakula tu ,ni lisaa limoja tu kwa siku yaani ni kisanga
Sent using IPhone X
Wakitangaza lockdown bila shaka tutapewa muda wa kujiandaa, mimi muda huo nafungasha virago nyumbaniii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo tufe peke yetu?Ninyi mnaowaza hivi ndio mtaopeleka maafa huko "nyumbaniii"
Kuina Phd mmoja kawadanganya watu kuwa waendelee kujazana makanisani na misikitini kuomba Mungu badala ya kuomba kutokea nyumbaniMtanzania mwenzangu, naomba niwape ushauri mapema juu ya hili janga la Corona linaloikumba Dunia nzima.
Kabla ya huu ugonjwa kufika Africa wengi tulitegemea kuwa utakuwa na impact ndogo sana kwa nchi za Africa tukijipa matumaini kuwa Waafrica tupo strong na ugonjwa wa aina hii (Mafua).
Jana nimeona taarifa ya habari Al Jazeera ikisema Africa ijiandaye kwa mripuko mkubwa wa hili gonjwa ndani ya wiki 2 hadi tatu zijazo.
Jana hiyo hiyo nikamsikia Spika wa Bunge la JMT kuwa Tanzania haiwezi kuweka watu wote home lockdown sababu kipato cha asilimia kubwa ya Watanzania ni cha kubangaiza kila siku. Maana yake hata serikali haiwezi wapa chakula kama baadhi ya nchi zilivyofanikiwa kufanya.
Ushauri wangu ni kufanya yafuatayo.
1. Tafuta kiasi cha pesa chochote kinachoendana na matumizi yako unachoweza kutumia hadi miezi mitatu bila kufanya kazi yoyote ya kukuingizia pesa.
Hata kama huna hiki kiasi, nakushauri tumia hata assets zako nenda kakope mapema. Kumbuka uhai ni muhimu kuliko assets. Hizi zitataftwa tu baadaye.
2. Nunua chakula kinachoweza kutunzika ambacho unaweza kutumia kati ya miezi mitatu hadi sita. Hii fanya mapema kabla serikali haijatangaza total home lockdown. Maana ikitokeaa ikatangazwa chakula kitapanda bei kwa kasi ya ajubu.
3. Tafuta mbadala wa kuweza kufanya shughuli zako nyumbani kama itawezekana mapema iwezekanavyo.
4. Usisubiri Serikali ikutangazie home lockdown. Ikiwezekana anza kujifungia mwenyewe mapema iwezekanavyo. Jikinge wewe na familia yako.
5. Hakikisha Afya yako ipo sawa wakati wote. Waafrica tunakatabia kabaya sana kwa kutojali afya zetu. Mara nying tunaishi na magonjwa mbalimbali. Sasa huu sio wakati wa kuishi na mgonjwa haya madogo madogo yanayoweza kutibika. Mfano malaria, Typhoid, UTI, Minyoo Mafua ya kawaida, vikohozi na mengineyo. Ni muhimu sana kuhakikisha umejitibu mapema magonjwa ya namna hii maana inavyoonekana COVID -19 ikikutana na combination ya magonjwa mengine, survival rate ni ndogo sana.
6. Endapo utaamua kujifungia ndani wewe na familia yako, usibweteke tuu muda wote unaangalia TV au upo kwenye simu. Fanya mazoezi mara kwa mara. Au kwa wale wenye mashamba, nenda shambani panda hata mihogo.
Huu sio muda wa kusubiri kila kitu serikali ikuambie. Tumia na wewe akili zako.
Mwaka juzi niliandika post humu nikishauri Wakulima wa korosho kuuza Mazao yao kwa bei wanayoona ingewelipa kuliko kusubiri ile iliyokuwa imependekezwa na serikali. Maana biashara na siasa ni vitu viwili tofauti. Hivyo hivyo wakati huu siasa na Majanga ni vitu viwili tofauti. Jiongeze mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tuisubiri hiyo lockdown maana hamna jinsi ila sijui kama itawezekana jinsi mipolice yetu ianvyopenda mrungula*Kwa wale tunaofikiri wagonjwa 19 wa Covid 19 kwa Tanzania bado SIO SERIOUS!![emoji848] Hebu tuangalie wenzengu wa nchi nyingine walikotoka wiki tatu zilizopita*
[emoji634] Italy
February 21 2020 - 21 cases
March 27 2020 - 86,498 cases
[emoji631] United States
February 21 2020 - 16 cases
March 27 2020 - 100,037 cases
[emoji632] France
February 26 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 32,964 cases
[emoji629] Germany
February 25 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 50,178 cases
[emoji633] Spain
February 27 2020 - 25 cases
March 27, 2020 - 64,059 cases
[emoji1130] Iran
February 19 2020 - 5 cases
March 27 2020 - 32,332 cases
South Africa [emoji1221]
March 1 2020 - 1 case
March 27 2020 - 1,170 cases
*Tupo pale wenzetu walipokuwepo wiki mbili tatu zilizopita.*
*Kama hatutajitahidi kujikinga nasi tutafika huko*.[emoji22]
*Watanzania wenzangu tujitahidi kuzuia muendelezo wa maambukizi ya Covid 19 kwa kuzingatia njia tunazoelekezwa na wizara.* .
*Ni jukumu lako wewe na mimi! Tuzingatie*[emoji1431]
Jr[emoji769]