watch the thinker
Member
- Mar 8, 2025
- 14
- 25
Nikope milion 6 nichuke bajaj used au nikope milion 10 nichukue bajaj mpya ila kabla sijaenda kuchukua mkopo.Nlikuwa naomba ushauri wenu nichukue bajaji used au mpya kupitia mkopo bank?Nikope milion 6 nichuke bajaj used au nikope milion 10 nichukue bajaj mpya ila kabla sijaenda kuchukua mkopo.Nlikuwa naomba ushauri wenu nichukue bajaji used au mpya kupitia mkopo bank?Chukua mpya.nikope milion 10 nichukue bajaj mpya ila kabla sijaenda kuchukua mkopo.
Mimi naona kama ungeweza kupata used safi ata kwa million 5 au sita, itakuwa rahisi kurudisha kwa muda mfupi kiasi ulichowekeza lakini mpya utatumia muda mwingi sana road kurudisha pesa uliyowekeza bajaji za milioni Tano au sita kupatana app ni nzuri safi na clean em jaribu kuzicheki mzee mwenzanguNikope milion 6 nichuke bajaj used au nikope milion 10 nichukue bajaj mpya ila kabla sijaenda kuchukua mkopo.
Nlikuwa naomba ushauri wenu nichukue bajaji used au mpya kupitia mkopo bank?
Umeandika wazo langu, kingine achague location nzuri. Ni vile kila mtu na interests zake, hiyo kamari ya 10M afadhali ukaichezee shambani.Naomba kujua, Hio bajaji unayonunua kwa mkopo utaendesha wewe au unampa kijana aendeshe?
Kama utaendesha wewe it will be better, and all the best
Ila kama unampa kijana jiandae kuichukia mikopo
Shambani mwaka huu mvua hakuna mwakani itazidi,jiangalie,nchi hii biashara nyingi ziko hovyo,ukininia mahindi kijijini kwa bei ya 39,000 kwa gunia na gharama zote huko Nkansi,poa ila usisafirishe weka godown,mwezi wa kwanza utauza 90,000/ miezi mitano.Ila tambiko muhimu sababu watu wanapiiga tukio Hadi gunia za mahindi zinapunguaUmeandika wazo langu, kingine achague location nzuri. Ni vile kila mtu na interests zake, hiyo kamari ya 10M afadhali ukaichezee shambani.
Bora mpya hadi ianze kuchoka angalu usharufisha hela.Nikope milion 6 nichuke bajaj used au nikope milion 10 nichukue bajaj mpya ila kabla sijaenda kuchukua mkopo.
Nlikuwa naomba ushauri wenu nichukue bajaji used au mpya kupitia mkopo bank?
Shambani siyo lazima ulime.Shambani mwaka huu mvua hakuna mwakani itazidi,jiangalie,nchi hii biashara nyingi ziko hovyo,ukininia mahindi kijijini kwa bei ya 39,000 kwa gunia na gharama zote huko Nkansi,poa ila usisafirishe weka godown,mwezi wa kwanza utauza 90,000/ miezi mitano.Ila tambiko muhimu sababu watu wanapiiga tukio Hadi gunia za mahindi zinapungua
JiraniAliyekwambia mkopo wa kuanzishia biashara nani? Subiri marejesho yaanze na bajaji ipige mbanga uje na uzi wa kujiua 😹
Jirani nasubiri unialike iftar kimya, mpaka mfungo unaisha..!!Jirani
Nakualika ngoja kwanza huyu aondoke ili utambulisho uwe mfupi 😂Jirani nasubiri unialike iftar kimya, mpaka mfungo unaisha..!!
Nakazia!!👿 labda km ana kazi nyngine?!!Ckukua mpya kisha endesha mwenyewe TU.
Narudia endesha mwenyewe TU
KAZI ni kipimo cha utu