Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,587
- 1,136
Wakuu Sina mengi Leo naomba wale wenye wisdom wanieleze hapa namna gani naweza kutenga mda wa kutafuta pesa na kumpa muda mke wangu..
Jana nikiwa kwenye harakati zangu mke wangu alinitext na kulalamika simpi muda wa kutosha.. Na ikumbukwe Kua Sina mwezi tu Toka nianze ishi na muhaya huku kusini mwa Tanzania ni.
Ninachotaka ni jinsi ya kutenganisha muda wa kusaka pesa na kumpa muda huyu mke inaonekana anataka tukae tu muda wote Sasa izi ishu sio aise.. Nahitaji muda nisake pesa.
Karibuni wapendwa
Sent using Jamii Forums mobile app