Ushauri: Nina mkopo NMB, naweza kuchukua mkopo benk nyingine?

Fungo N.

JF-Expert Member
May 20, 2011
252
43
Mimi ni mtumishi wa serikari,

Nina mkopo NMB ambao natarajia kuumaliza mwaka 2017, zaidi naomba kujua kama naweza kuomba mkopo benki nyingine.
 
huwez kuchukua, mbna kwa sas mwajiri wako, amezuia % fulan, lazima ubaki nayo, hivyo kwenye kregora ikiingizwa makato ya mkopo mpya itakataa, na wamefanya hiv m?ana kuna kipind mwalimu kwa mwez alikuwa anaenda benk kuchukua mshahara 10000 tu, pesa yote mekatwa kwa madeni. nenda fanya topup nmb baada ya miez sita tu baada ya kuchukua mkopo wako.
 
Inategemea na 1/3 yako ikoje,kama inaruhusu unapewa,cha msingi kwenye Lawson ikubali tu
 
Mimi ni mtumishi wa serikari,nina mkopo nmb ambao natarajia kuumaliza mwaka 2017,zaidi naomba kujua kama naweza kuomba mkopo benki nyingine.

Hapo kazini kwako hakuna saccos!? Ni bora kukopa kwenye saccos kuna unafuu kidogo kuliko ktk mabenki.
Ila unaweza kukopesheka kama salio lako la sasa bado linasoma vizuri.
 
Duhh,mkopo juu ya mkopo?
We umekopa na deni linaisha 2017 which means umekopa juzi tu hapa,then unakopa tena.
Mkuu madeni kwa bank kwa mfumo huo ni kujitia umaskini.
Wazungu wanasema jikune pale mkono unapofikia,usipofikia basi tafuta ukutwa ujikune kama mbuzi.
 
Uwezekano wa kukopa unategemea na mambo yafuatayo.

1. Kama benki mpya inaweza kununua deni lako NMB. Kaongee nao uwaeleze kuhusu mkopo wa sasa.

2. Kama unaweza kufuta mkopo wa sasa kwa kurudisha benki hela wanazokudai

3. Endapo una salio la kutosha kwenye mshahara wako, hujafikia 1/3 ya mshahara.

4. Unaweza pia kuongea na NMB wakupe top up.
 
UKUMBUKE DHAMANI YA HELA YA LEO SIO SAWA NA KESHO, AKIKOPA LEO AKANUNUA NYUMBA YA BIASHARA MIAKA MINNE IJAYO NYUMBA HIYO HIYO DHAMANI YAKE ITAKUWA MARA DUFU 1000 ya leo siyo sawa na 1000 ya mwakani, NAMSHAURI ATAFUTE SACCOS AKAKOPE
 
Uwezekano wa kukopa unategemea na mambo yafuatayo.

1. Kama benki mpya inaweza kununua deni lako NMB. Kaongee nao uwaeleze kuhusu mkopo wa sasa.

2. Kama unaweza kufuta mkopo wa sasa kwa kurudisha benki hela wanazokudai

3. Endapo una salio la kutosha kwenye mshahara wako, hujafikia 1/3 ya mshahara.

4. Unaweza pia kuongea na NMB wakupe top up.

Msaada namba 2, hapo utarudisha hela kama zinavyosoma kwenye deni husika au kutakuwa na punguzo kwa kulipa kwa mkupuo?
 
Unaporudisha balance kama inavyosomeka kwa wakati huo interest inakufa. Mabenki yetu huwa yanatengeneza schedule inayoonesha malipo ya kila mwezi na interest yake. Kwa hiyo ukifuta deni na interest iliyobaki inafutwa. Hii strategy huwa inasaidia sana kupunguza cummulative interest ambayo mabenki yetu yanatoza.
 
Mkuu hili ni kwa benki zote hapa nchini au?
 
Mkuu umenikumbusha mwalimu wang wa economics sio kuwa namaanisha na wewe una lengo hilo hapa bali alisema benk zina shida sana ilkuwa kweny ishu za credit creation bank moja inatoa mkopo alaf mkopaji anakula pesa zote then anaenda kukopa kwingne kiasi cha juu kidogo af anakuja kulpa tena na mchezo unakua huohuo life linaenda
 
Tatizo la wakopaji wengi ni kutumia pesa za mkopo kwa mambo yasiyozalisha kama michango ya harusi na kusomesha ndugu!
 
Back
Top Bottom