Ushauri nimuoe huyu singo maza

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,855
Reaction score
5,381
Waja naomba mnishauri kuhusu huyu singo maza

Kuna singo maza nimepiga sound akajaa kwenye mfumo ni kibinti kina 23 tu
Afu kananiambia nikaoe nikaweke ndani

Shida anamtoto miaka 2 tu afu bado wanawasiliana na baba wa mtoto nikikaoa kataniletea shida maana nikarembo kafundi cherehani afu kana mzigo wa haja na mimi sio mtu wa kukaa sana wahuni hawatanigongea kweli?
 
Muoe
Wahuni hawatamgonga ila watakugonga wewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…