Ushauri nimuache au nifanyeje?

Mimi nafikiri unatumia vibaya neno "Nakupenda", kama kweli una maanisha basi huo ugonjwa wake wala isingekuwa tatizo.

Wasiwasi wangu ni kwamba huenda hata hilo swala la yeye kuumwa sickle cell kakudanganya.
 
Teh!!! Umenifurahisha hapo mwishoni!!!!
 
Mimi nafikiri unatumia vibaya neno "Nakupenda", kama kweli una maanisha basi huo ugonjwa wake wala isingekuwa tatizo.

Wasiwasi wangu ni kwamba huenda hata hilo swala la yeye kuumwa sickle cell kakudanganya.

Kaka ukweli mkuu kasema kila kitu!
 
kwi kwi kwi kwi kwi kwi

Hayo ndo yanaitwa mahaba ntie ngwala ning'oe meno ya barazani

Acha uoga kijana wanawake wako wengi kama vumbi la dhahabu geita

Mwambie unaachana naye halafu sikilizia baada ya wiki na nusu then call her uone kama hujaisikia sauti yake

Anayetaka kujiua hasemi ugali mtamu jamani!
 
Mimi nafikiri unatumia vibaya neno "Nakupenda", kama kweli una maanisha basi huo ugonjwa wake wala isingekuwa tatizo.

Wasiwasi wangu ni kwamba huenda hata hilo swala la yeye kuumwa sickle cell kakudanganya.

Umenichekesha halo mwishoni daaa.
 
"umwache au ufanyaye?" .....MM NAKUSHAURI UFANYEJE. Ufanyeje ndio jibu sahihi.
 
Mkuu noma sana aisei!
 
Pole sana..huo kwa kweli ni mtihani mkubwa

Mkuu sijielewi make anavyolalama last aliniambia asingekuwa na mimi angekufa muda siyo mrefu sikumwelewa nikajua swaga za mapenzi but hapa ndiyo nimeanza kupata what she had always meant....!
 
Kama mahusiano yako na mwenzi ni kero kwako....hata unatamani kuachana, na ushaambiwa kero hizo hazitakoma kamwe, zaidi mwenyew kakwambia ukimwacha atajiua....wew mwenyew unadai kumpenda sana...UNAKOSAJE MAAMUZI???

Unajua hapo pana hasara kuliko faida....na bado unaganda hapo kama Luba..what are you for in this world.?

ndio maana nikakwambia UFANYEJE ndo jibu sahihi. Na wew unaumwa sickle cell aliyokwambia.

Amua kumuacha, AKIJIUA na wew JIUE.....Amua kudumu nae kwa kuwa mnapendana, MATATIZO yake ni YAKO PIA. Kazana kusoma na ushirikishe wenzio akili zako...zikichanfanyika na za wenzio..ZITAKUWA AKILI KAMILI.
 
Kwanza, .sickle cell haingiiliani na uongo wake. Kuna dada nafanya nae kazi hapa ni good performer at work ana cheo cha umeneja wa kuaminika, Postgraduate na ni mama wa watoto 3 ila siku ikimbana ndo utamwonea huruma ni ICU kwenda mbele. Sasa angekuwa anatumia huo ugonjwa wake kama ni excuse sidhani kama angefika that far...ugonjwa ni mindset yake tu.

Pili, nahisi matatizo yanaweza kuwa kwako, wewe waonyesha kutokumwamini. Maana unapenda kumuuliza uko wapi kila mara, labda anakujua tabia yako na mazingira aliyopo unaweza ukakasika ndio anaishia kukudanganya. Acha kumuuliza uko wapi everyone now and then...labda you're controling freak!

Tatu, mtu mwenye Sickle cell anaweza kuolewa na kuzaa watoto salama, nendeni mkapime genetic zenu. Huyo dada nilioleza hapo juu mumewe sio sickler na ameweza kuwa na family ambayo haina maradhi. Shughuli jitaarishe na kuuguza when needed, na kama unampango wa family kubwa sidhani kama litawezekana kwa hawa watu.
 
Weka picha yake na namba yake ya simu tukusaidie vizuri zaidi.
 
Asante kwa ushauri.
 
umembikiri... now umepata mwingine waanza visingizio.... walahhi humwachi dadangu....ntakufanyizia....
 
Huyu member mwenzetu Avemaria ndiyo muhusika uliyeahidi utamtaja jina?
Ok! Hamna uhusiano wa SCD na kusema uongo.

Vijitu viongo viongo hata kwa mambo madogo madogo huwa havifai kamwe , hutakaa uwe na furaha.
Kuhusu kujiua hiyo haipo.
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu the only time wakiongea ukweli ni wana admit walikudanganya hapo mwanzo...
kazi ni kwako
 
umembikiri... now umepata mwingine waanza visingizio.... walahhi humwachi dadangu....ntakufanyizia....

Shemeji acha mambo zako wewe! Dada yako anapendwa cha msingi toa ushauri.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…