KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
- Thread starter
- #41
Love doesnt ask why
maradhi sio tatizo ktk mapenzi ila ww HUMPENDI na ndo mana unawaza kumuacha
Emu acha majibu mapesi kwenye maswali magumu...! How many timez you girls mnatuacha ss wanaume simply because umepata bwana mwenye pesa zaidi ya mpenzio sasa hapo ni pesa ambazo zinaweza kutafutwa na zikaoatikana ila kwasababu mnapenda sana mteremko na vitu vya bwerere mnatutosa kama hamtujui how comes kwa ugonjwa mkubwa kama huu useme siyo sababu ya mtu kumwacha mwenziwe!