nimetuma nude pic/ kwene grp wasap badala ya kumtumia mke wangu nifanyeje?? nsaidieni kabla hakujakucha jamani
Na haya magroup watu wanavyojuwa kukesha nayo watakuwa washaipata iyo picha. Mtu mmoja magrupu 10 .pole waombe radhi sasa utafanyeje.
Hahahahaha huyo rafiki yako kaona what a mistake hivi kweli mmefikia hatua yakutumiana picha zenu za utupu whatsap kweli yanayofanyika gizani yamewekwa hadharani. Was it a full pic or half pic, Leo utaenda job?nmejaribu ila nmpgia rafiki yangu kasema bado ipo na kaweza kudownload
Why involving yourself with nude pics in the first place leave alone sending it to your wife?!nimetuma nude pic/ kwene grp wasap badala ya kumtumia mke wangu nifanyeje?? nsaidieni kabla hakujakucha jamani
Hahahaaaa mkuu kumbe umekuja huku, kumbe kweli hukudhamiria bt nimeiona hiyo nika staajabu sana ila pole sana mtani siku nyingine kuwa mwangalifu sana aisee