Mimi ni mpogoro pure hao viumbe nawajua nje ndani,
Sikufichi demu wa kipogoro utaishi nae kwenye hali yeyote ya maisha shida na Raha
Halafu kwa nini vijana wa kipogoro wanatabia ya kuomba ela watu njiani utawakuta maeneo ya wami kambarage bar wanaosha magari wanalewa au pale ofisi za abood wamesimama ukipita tuu wanaomba pale stendi ya mjini ya haice plus wale bodaboda wa chamwino ,sua shida ni nini nimekaa mda mchache nimeona hayaMimi ni mpogoro pure hao viumbe nawajua nje ndani,
Sikufichi demu wa kipogoro utaishi nae kwenye hali yeyote ya maisha shida na Raha
We endelea kubisha hadi ukweli[emoji3][emoji3][emoji3] ubishi ndiyo asili yangu... Lkn izo tabia mbona wengine hawana?
...wa kipingu niandike wapi.mimi mpogoro wa Iragua
Hamna, mi sikubishii kaka yng...huwa naiaminig michango yako .We endelea kubisha hadi ukweli
Likomolo ndo nn???Utapigwa likomolo fasta
hapa hapa chifu...wa kipingu niandike wapi.
wapogoro na ofis za Abood wapi na wapi ?Halafu kwa nini vijana wa kipogoro wanatabia ya kuomba ela watu njiani utawakuta maeneo ya wami kambarage bar wanaosha magari wanalewa au pale ofisi za abood wamesimama ukipita tuu wanaomba pale stendi ya mjini ya haice plus wale bodaboda wa chamwino ,sua shida ni nini nimekaa mda mchache nimeona haya
Ni wapogoro maana waluguru wengi wamejificha milimani
Ofisi za abood si zipo town kabisa na kule ombaomba ni wagogowapogoro na ofis za Abood wapi na wapi ?
mbona jamaa anasema wapogoroOfisi za abood si zipo town kabisa na kule ombaomba ni wagogo
Heheee sijui mwenyewe. Labda kashalewambona jamaa anasema wapogoro
watoto wameruhusiwa kunywa pombe ?Heheee sijui mwenyewe. Labda kashalewa
Si anajiita mlevi mmoja so pigia mstariwatoto wameruhusiwa kunywa pombe ?
Nacho taka kukuambia hakuna kabila Bora Tanzania kwamba Hilo ndio lenyewe watu wake Wana kila aina ya sifa nzuri.makabila yote yanachangamoto zake so kama huyo mtu mnapenda mvumiliane tu hakuna binadamu aliekamilika.wakuu salamu.
Katika pilika pilika zangu za maisha, nimebahatika kukutana na binti mmoja hivi wa kipogoro.
Nimetokea kumpenda sana, ila sijui historia na tabia za kabila lao likoje.
Kwa mwenye kujua tabia, desturi, history na mtindo wa maisha ya kipogoro naomba anijuze please.
Huyu mwanamke, nina mpango wa kuishi nae.
Ushauri ni muhimu sana kwangu
Nawasilisha
Ata Vijana wa kabila lako kuna baadhi wako mahala wanaomba,Halafu kwa nini vijana wa kipogoro wanatabia ya kuomba ela watu njiani utawakuta maeneo ya wami kambarage bar wanaosha magari wanalewa au pale ofisi za abood wamesimama ukipita tuu wanaomba pale stendi ya mjini ya haice plus wale bodaboda wa chamwino ,sua shida ni nini nimekaa mda mchache nimeona haya
Ni wapogoro maana waluguru wengi wamejificha milimani
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hiyo siyo sifa ya wapogoro tu ni sifa ya mwanaume yeyote Rijali.Ila mie kuna sifa moja niliisikiaga ya wanaume wapogoro, sijui ni kweli [emoji3][emoji3]...hamjatulia ,macho juu juu
shit underlinedSi anajiita mlevi mmoja so pigia mstari
No.3 uko sahihi zaidi ya 100%.Nimesoma na kuishi Mahenge/Ulanga - Morogoro kwa Wapogoro, nilijifunza haya;
1. Wanapenda sana wali samaki, hakikisha una gunia la mchele ndani.
2. Hawaachanagi na waume zao wa zamani, yaani wakikutana tu lazima waliamshe dude.
3. Bint na mama yake huwa ni marafiki sana, wanaume wote wa nje hupitia kwa mama ili kuendeleza Penzi.
4.Ukimuoa kila mwezi atadai kwenda kwao kusalimia ilimradi tu akajimwambafai kwao na kwa waume zake.
5. Wanaamini sana kwenye ushirikina, wanawawekea limbwata waume zao na kuwapumbaza akili ili wasahau kwao na ndugu zao.
THANK ME LATER
shit underlined