Ushauri: Nimepata mwanamke wa kipogoro

We mkaka oa mchumba wako ,wala wasikuogopeshe hao na tabia za uongo walizozitaja...km umempenda oa bila wasi wasi. [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tatizo hao wachoyo halafu ni wafupi wana roho mbaya maana roho zao zipo karibu na matako.
 
Mi nilikaa Moro miezi kadhaa bado napendelea kwenda kujificha huko kwahyo consider kama [emoji16][emoji3] ni research nimefanya a non empirical research baada ya kuskia skia maneno nilikuja kuthibitisha still wapo wazuri siunajua kila mtu na tabia yake
Mmh mi ata sikubaliani nanyi, uongo huo..nyie mna uthibiti gn wa hilo jambo?
 
We mkaka oa mchumba wako ,wala wasikuogopeshe hao na tabia za uongo walizozitaja...km umempenda oa bila wasi wasi. [emoji3][emoji3][emoji3]
Daah kabishi kwelikweli embu kaonee
 
Ukistaajabu ya Firaun utashangaa ya Mussa. Kila kabila na hasa ya kiAfrika yana vioja vyao, vinginevyo muoaji hautaoa!!
 
Mwanaume harogeki law limbwata tu
 
Khaaa bd sijaamini mimi ata kidg
 
Ukistaajabu ya Firaun utashangaa ya Mussa. Kila kabila na hasa ya kiAfrika yana vioja vyao, vinginevyo muoaji hautaoa!!
Kabisa yani, hataoa huyu akikaa kusikiliza makabila shauri yake..makabila yote yana viojaa
 
Reactions: bbc
Wanapenda kutawala waume zao haooo.. Yaani wewe ndugu zako utawaona kinyesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…