Endelea na flow ya communication tu. You never know. Ila siku maongezi yake yakianza kuelekea muelekeo wa account(s) number na full details zako, be very scared.
Umepata wa nchi za nje[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] umepata zari la mental! Ila nasikiaga matapeli et[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12].
wapopo wengi sio wakweli,ila wapo ambao ni waaminifu dada approach kila kitu with caution hadi utakapoona ana kidhi vigezo vyako,hakuna tofauti kubwa ya kiuchumi kwa watu wa kawaida kati ya nchi hizi mbili,ingawa uchumi wa Nigeria upo juu kuliko wa kwetu,kama umempenda dad make a move but ila kuwa careful mno ,good luck
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.