no comments thread closed kesho naenda kuicholopoa mimba,siwezi kuoa binamu
Baada ya kuachwa na mpenzi wangu niliumia sana, niliamua kutopenda tena wanawake na maamuzi niliyopanga kila mwanamke atakayekatiza mbele yangu nampiga dushe ili kupoza machungu.
Kwa bahati mbaya nikamlamba mtoto wa anko ana 17, leo amenipigia simu ananiambia ana mimba yangu.
Ushauri naombeni je hiyo mimba ni yangu au nimepigwa changa, vilevile nimepanga kuichomoa ili kufuta noma na aibu nyumbani.
Siyo yako..Ni yake
Nadhani kuna tatizo katika akili za vijana za vijana waliozaliwa miaka ya themanini.......
Wana hitirafu kubwa sana katika viwango vya kufikiria na kuchanganua mambo ya msingi hata yale yanayowahusu wao.......
Sehemu ndogo ya akili zao na nguvu zao wamezielekeza kwenye ngono na starehe.........maswala ya msingi yanayowahusu wao na maisha yao wamewaachia watu wachache wawaamulie huku wao wakisubiri kulaumu tu......
Bado napata wasiwasi kuwa tunaelekea wapi kama taifa ikiwa hizi ndio fikra za vijana tunaowategemea walijenge taifa kwa manufaa ya sasa na ya baadae........
MUNGU TENDA MIUJIZA KWA VIJANA WETU.....
Nahaitatoka...
Nakutaka radhi mkuu......Hapo kwenye vijana waliozaliwa miaka ya the ma nini,tuombe radhi mmkuu wengine tuko poa kabisa fkra ni pevu
wewe yesu haji leo bado sana. biblia inasema miaka elfu moja kwa mungu ni sawa na siku moja, sasa ni miaka elfu mbili kwa Mungu ni sawa na siku mbili . siku mbili tu zimepita tangu yesu aondoke halafu leo unataka arudi hata maumivu hajasahau bado.