Ushauri: Nimempa mimba binamu yangu

Eheeee hii mpyaa jamaa wamemjazaa mimba sasa ndo shida hiyo ww tulia ujifungue
 
Mi nakushauri uanze kusoma sheria fulani hivi kwa kifupi huwa inaitwa SOSPA, inaweza ikakusaidia kufanya maamuzi yenye faida zaidi. Mfano kukimbia hapo unapokaa badala ya kusubiri mgambo waje kukufurumusha
 
Hivi Wanavyosema "binamu kinyama cha hamu" huwa wanamaanishaga nini?!
 

Usiue kiumbe Kisicho na hatia ni laana
 
Watu bhana,acha tu dhambi ya kumla binamu,unamla na unaona kabisa wazungu wanaserereka ndani unawaachia?
 
unataka akupe uibebe ndo ujue kama ni yako? pia una kesi ya kubaka.
 
wakati mnaunganisha vikojoleo vyenu mbona hukuja kuomba ushauri chamsingi lea ujauzito mpaka kujifungua ukimtoa hiyo mimba unatengeneza kesi nyingine ya kwanza kubaka ya pili ya mauaji segerea inakuhusu
 
Unatengeneza dhambi ya kuua baada ya kutengeneza dhambi ya uasherati..

Ni heri kutubu.
 
Nadhani kuna tatizo katika akili za vijana za vijana waliozaliwa miaka ya themanini.......
Wana hitirafu kubwa sana katika viwango vya kufikiria na kuchanganua mambo ya msingi hata yale yanayowahusu wao.......
Sehemu ndogo ya akili zao na nguvu zao wamezielekeza kwenye ngono na starehe.........maswala ya msingi yanayowahusu wao na maisha yao wamewaachia watu wachache wawaamulie huku wao wakisubiri kulaumu tu......

Bado napata wasiwasi kuwa tunaelekea wapi kama taifa ikiwa hizi ndio fikra za vijana tunaowategemea walijenge taifa kwa manufaa ya sasa na ya baadae........
MUNGU TENDA MIUJIZA KWA VIJANA WETU.....
 
Khaaa!,sasa sisi tutajuaje kama kweli ni yako?Kwani mlipokuwa mnanjunjana mlitushirikisha?
 
Mimba sio yako, unadanganywa. Kisayansi haiwezekani kumjaza mimba binamu!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…