Starboywiz
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 867
- 1,456
Unapima ugonjwa ambao hauna tiba ili ugundue nini?
machugwa najuwa hakuna mutu anayeweza kuadika huku kafuba macho?
vp Kijana Una Mafua AuNakuupa pore sana oba mungu atakupa uzima neda kanisa lolot la walokore uobewe?
Mwijage tulia kwanza mawazo yapungue....Nakuupa pore sana oba mungu atakupa uzima neda kanisa lolot la walokore uobewe?
Habari zenu wakuu,
Mimi ni kijana ,24 ...nimekuja hapa mjini tangu 2014, nikitokea kijijini kwetu mtwara. Hapa skua na ndugu hata mmoja Ila nmehaso angalau nimepata kibanda cha kuegesha mwili ucku na mishe za hapa na pale ili niweze kula.
Vhela kdg vlivyobak , km mjuavyo cc vjana mfuko ukijaa kdg ni mwendo wa kuzitafuna na madem.
Bwana bwana, yamentokea puani,cjui ni nan kat ya hawa madem zangu, lkn juzi nlkua naumwa nkaenda hosptali nkidhan malaria , c nkapima na ukimwi bana...Dah... Nimenasa kwa kweli.
Cfikrii kurudi nyumbani , maisha ya kule ni magumu sana,...na kanisani ndo kabisaa hata ckumbuk mara ya mwisho kwenda ni lini.
Huku magetoni kila mtu kivyake...na cdhan km ntaweza kuwajulisha kuhusu hili jambo....labda cku wakikuta nimeshadedi![]()
![]()
![]()
Msaada jamani wakuu
Mwanangu hii imezidi sasa.Nirikuwa namuwona hapa
Shule ya msingi mmeshafunga shule?Nakuupa pore sana oba mungu atakupa uzima neda kanisa lolot la walokore uobewe?