Ushauri; nimekutwa na UKIMWI... Bora nife tu.

Ushauri; nimekutwa na UKIMWI... Bora nife tu.

UNATAKA USHAURI WA NINI WAKATI UMESHAAMUA KUWA BORA UFE TU? kwa nini sasa unataka kuwasumbua watu kukushauri? SAWA KUFA TUILA WAAMBIE NDUGU ZAKO AU NUNUA SANDA,JENEZA NA PESA ZA KUENDESHA MSIBA.
Habari zenu wakuu,

Mimi ni kijana ,24 ...nimekuja hapa mjini tangu 2014, nikitokea kijijini kwetu mtwara. Hapa skua na ndugu hata mmoja Ila nmehaso angalau nimepata kibanda cha kuegesha mwili ucku na mishe za hapa na pale ili niweze kula.

Vhela kdg vlivyobak , km mjuavyo cc vjana mfuko ukijaa kdg ni mwendo wa kuzitafuna na madem.

Bwana bwana, yamentokea puani,cjui ni nan kat ya hawa madem zangu, lkn juzi nlkua naumwa nkaenda hosptali nkidhan malaria , c nkapima na ukimwi bana...Dah... Nimenasa kwa kweli.

Cfikrii kurudi nyumbani , maisha ya kule ni magumu sana,...na kanisani ndo kabisaa hata ckumbuk mara ya mwisho kwenda ni lini.

Huku magetoni kila mtu kivyake...na cdhan km ntaweza kuwajulisha kuhusu hili jambo....labda cku wakikuta nimeshadedi [emoji24] [emoji24] [emoji24]

Msaada jamani wakuu
 
Pole mkuu, yaweza kumkuta yeyote, cha msingi ni kutulia na kuanza matibabu. Ishi vizuri fanya kazi zako kama kawaida. Usikate tamaa, usione kama leo ndio mwisho wa kila kitu katika maisha yako. Wapo watu wana matatizo tofauti tofauti tena mengine makubwa mno lakini wanapambana kutimiza ndoto za maisha yao.
 
Ebu nenda kadanganye watoto wenzako tu huko,hivi ww unajua ngoma kweli au shauri yako maneno uumba
 
Pole sana
Ila uandishi wako kama vile under 20
 
Tuliza kelele dogo , dawa ya ukimwi ishapatikana vuta subira itafika nchini hivi punde
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom