Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 6,289
- 10,992
Mie mwenyewe simwelewi huyu member uandishi wake.!
Jaribu kufuatilia comments zake utagundua kitu.
Jaribu kufuatilia comments zake utagundua kitu.
Una mafua?
Una mafua?
Wee jamaa noma sanamachugwa najuwa hakuna mutu anayeweza kuadika huku kafuba macho?
Unahiji msaada ndugu ujue kusoma na kuandika.Nakuupa pore sana oba mungu atakupa uzima neda kanisa lolot la walokore uobewe?
Ni heri ufe tu kama ulivyoamua mkuu maana kwa jinsi unavyoonekana hukawii kuusambaza.Habari zenu wakuu,
Mimi ni kijana ,24 ...nimekuja hapa mjini tangu 2014, nikitokea kijijini kwetu mtwara. Hapa skua na ndugu hata mmoja Ila nmehaso angalau nimepata kibanda cha kuegesha mwili ucku na mishe za hapa na pale ili niweze kula.
Vhela kdg vlivyobak , km mjuavyo cc vjana mfuko ukijaa kdg ni mwendo wa kuzitafuna na madem.
Bwana bwana, yamentokea puani,cjui ni nan kat ya hawa madem zangu, lkn juzi nlkua naumwa nkaenda hosptali nkidhan malaria , c nkapima na ukimwi bana...Dah... Nimenasa kwa kweli.
Cfikrii kurudi nyumbani , maisha ya kule ni magumu sana,...na kanisani ndo kabisaa hata ckumbuk mara ya mwisho kwenda ni lini.
Huku magetoni kila mtu kivyake...na cdhan km ntaweza kuwajulisha kuhusu hili jambo....labda cku wakikuta nimeshadedi [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Msaada jamani wakuu
unazingua mwana.Nakuupa pore sana oba mungu atakupa uzima neda kanisa lolot la walokore uobewe?
Ila ukikutwa huna ngoma basi vinasema ukweliNenda kapime tena kwingine, hivi vipimo vinasemaga uongo sometime
Mwana anazingua balaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]unazingua mwana.
jamaa kaamua kujitoa akiliMwana anazingua balaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Unautafuta umaarufu kwa gharama ya kingese sana.Nakuupa pore sana oba mungu atakupa uzima neda kanisa lolot la walokore uobewe?
Uchoko huumachugwa najuwa hakuna mutu anayeweza kuadika huku kafuba macho?
Ujinga tu unamsumbua huyo dogo.Una mafua?
Huyu mburula anajifanyishaUnahiji msaada ndugu ujue kusoma na kuandika.
Ni kweli bado upo shule ya msingi huku umevamia ila kama unalengo utatoboa kwani nyota njema huonekana asubuhi.
By the way ID yako pembe za panzi imenifurahisha sana.
Ndugu , nimesoma koment yako nimehisi unaumwa mafua makali mno!!! Polee aiseeNakuupa pore sana oba mungu atakupa uzima neda kanisa lolot la walokore uobewe?
Sijui anaandika vipiMie mwenyewe simwelewi huyu member uandishi wake.!
Jaribu kufuatilia comments zake utagundua kitu.
Siku hizi hiyo sio ishu tena.Habari zenu wakuu,