Ushauri; nimekutwa na UKIMWI... Bora nife tu.

Ushauri; nimekutwa na UKIMWI... Bora nife tu.

Unafikiri ungepata nguvu za kuandika hapa.. 100% uongo
 
Shunie umeongea nukta muhimu sana, kuna mshkaji wangu aliwahi kupima akaambiwa ni positive akchangamyikiwa kbx...nkamwambia kapime tena na tena sehm nyngn good enough akaonekan ni Negative, alishukuru sana! Sometime huwa ni makosa ya vyombo vya upimiaji tu
Mkuu pole sana wala usikate tamaa ebu jaribu kwenda kupima tena sehemu tofauti uone
 
ukimwi wa saiv hauuwi ila ukimeza arv nguvu za kiume huisha na uume kua kibamia. Alaf angal kuna kabila ka lako wakipata ukimwi wanakua na vichwa vikubwa
 
acha kujisingia magonjwa.....mnafanya jf ionekane jukwaa la hadithi
 
Kwani wote wanaokufa ni ukimwi tu usilete mambo ya hovyo, kapate ushauri nasaha huko, unakijua kifo wewe
 
acha cai ya usik joto kali !!na epuka saana na mzaha katika maishaaa maisha hayana mzaha bwana mdogo!!
 
Hakikisha unapata chakula bora na unakula kwa wakati, bila kusahau matunda na mboga mboga, bunguza kufanya ngono ama ikiwezekana acha kabisa, usiwe mtu mwenye mawazo ya mara kwa mara, fanya mazoezi na pumzisha mwili wako, ukizingatia ushauri utaishi muda mref na utatimiza malengo yako kama kijana.


Ili uweze kuishi kwa kuzingatia ushauri kutokana na hali yako itakulazim uwe ktk standard flan hiv kimaisha, na hapo ndipo penye tatizo.

Kijijini kuna wazazi na ndugu zako wanakutegemea, wewe mwenyewe unaish geto na huna kazi ya uhakika, japo rizki kidogo inapatikana ila bado unandoto na safari ndefu ktk kuyafikia mafanikio. Huna bima ya afya, huna uhakika wa kula milo mitatu na wakati mwingine mwenye nyumba mnazinguana kwa mambo madogo tu, kama bili ya maji, umeme au pesa ya usafi, japo siku moja moja mgodi ukitema unaenda kuoga maji ya blue ukiwa na mtoto mzur pembeni.

Leo Maralia, kesho typhoid mara kichwa mara mgongo, bila kufikiri mara mbili unaenda kupima HIV, mara paaaa!!!! Unao....
Ukifiki juu ya familia yako na maisha yako kwa ujumla, what next! Kama si kufikiri kujiua ukiamini ndio solution.

Acha kukata tamaa huenda hiyo HIV uliipata tangu ukiwa Mtwara na maisha yaliendelea, kitu pekee unacho weza kukibadirisha ni fikra zako, amini kua ktk yote ulokua ukifanya, ukipanga na ukitarajia bado yanawezekana as long as uko hai.

Pole sana mkuu.
 
Habari zenu wakuu,

Mimi ni kijana ,24 ...nimekuja hapa mjini tangu 2014, nikitokea kijijini kwetu mtwara. Hapa skua na ndugu hata mmoja Ila nmehaso angalau nimepata kibanda cha kuegesha mwili ucku na mishe za hapa na pale ili niweze kula.

Vhela kdg vlivyobak , km mjuavyo cc vjana mfuko ukijaa kdg ni mwendo wa kuzitafuna na madem.

Bwana bwana, yamentokea puani,cjui ni nan kat ya hawa madem zangu, lkn juzi nlkua naumwa nkaenda hosptali nkidhan malaria , c nkapima na ukimwi bana...Dah... Nimenasa kwa kweli.

Cfikrii kurudi nyumbani , maisha ya kule ni magumu sana,...na kanisani ndo kabisaa hata ckumbuk mara ya mwisho kwenda ni lini.

Huku magetoni kila mtu kivyake...na cdhan km ntaweza kuwajulisha kuhusu hili jambo....labda cku wakikuta nimeshadedi [emoji24] [emoji24] [emoji24]

Msaada jamani wakuu
Kama uko serious.... Utapata msaada

Ukimwi Kwa sass uko controllable kama utafuata masharti
 
Rest in peace in advance...
una nyege wewe kama amber ruty
HIV sio kufa hata siku 1 watu tuna HIV tunakula bata kama kawaida, pia hata wewe utakufa tu hata kwa kupigwa mtungo
k*m@ kibuyu
 
una nyege wewe kama amber ruty
HIV sio kufa hata siku 1 watu tuna HIV tunakula bata kama kawaida, pia hata wewe utakufa tu hata kwa kupigwa mtungo
k*m@ kibuyu
Vijidudu vishaingia kwenye ubongo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Bora ukimwi kuliko kuumwa presha figo au ini,kwahyo usiumie fata taratibu ulizopewa utaishi miaka mingi kuliko ata wale ambao awaumwi ata maralia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom