Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,761
Habari wakuu
Nimepokea simu kutoka kwa mtu anasema yuko central kitengo cha cyber na kuna namba inaonekana naongea nayo na wanataka kujua machache kuihusu
Nimewauliza ni ipi niwajibu? wamekataa wamesema niende central au niwaambie nilipo wanifate nimewajibu ntaenda kesho
Hasa hapa najiuliza niende au? maana polisi wetu hawaaminiki unaeza fika yakawa mengine
Ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama line imesajiliwa kwa finger print inakuaje?Dogo kama ulinunua simu mkononi usiende vunja line na simu ipasue uendelee na mambo yako vingunevyo utapewa kesi ya mauaji na itakutoka zaidi ya M kadhaa kusawazisha mambo
Sent using Jamii Forums mobile app
We dogo sikiliza wakubwa hayo mafingerprint itachukua decades kuanza kukutressKama line imesajiliwa kwa finger print inakuaje?
Umepata wapi mamlaka yakuniita dogo?We dogo sikiliza wakubwa hayo mafingerprint itachukua decades kuanza kukutress
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha hivi mkuu mme anaweza akaomba chats za mkewe tcra/polisi na wakampa pasipo ridhaa ya mke(mwenye namba)?Kuna jambazi/mhalifu unawasiliana naye au mtu wako wa karibu?
Aliyekuita alijitambulisha vipi na wewe unamwamini vipi kuwa ni polisi na si tapeli au mwenye nia mbaya na wewe?
Kama upo ok chukua mtu wa kukusindikiza ambaye atakuwa nawe in case of anything.ili ukatoe ushirikiano kwa kile unachokifahamu.chukua jina la askari husika na namba yake.nenda kituoni uliza kama kuna mtu mwenye jina na namba hiyo.then waambie amekuita kwa simu unataka onana naye ukiwa na mtu amekusindikiza na umeoa taarifa kwa watu wa karibu.
Then waoneshe ushirikiano.
Kama unatembea na mke wa mtu na chats zenu zimeonekana ni issue ujue.ombea mwenye mke asiwe karibu akakuona na jinsi ulivyokuwa ukitamba kwenye chats kwa kumkunja mkewe pasipo huruma....
Ulienda kwa kesi ipi mzee?Duuh hatar fayaaa mzee
Nlishafanyiwa hivo aise majanga hayo
Ushauri
Mtafute polis unaye mfahamu nenda nae hapo utapona
Au wakili wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha unafika tu wanakwambia vua viatu, vua mkanda? Hahahaha kama utani vile ila ni ukweli mtupu.Polisi usiende kama unaenda bar! Unaweza fika pale ukaambiwa vua viatu, vua mkanda, toa ulivyonavyo weka ubaoni alafu ukasikia mweke selo namba 4 ya majambazi huyo mpelelezi wa kesi yake ana udhuru mpaka week ijayo..mjomba fuata ushauri wa Gudume.
Kuna siku nilishuhudia jamaa kaenda pale anasema nimekuja niliitwa sasa nimekuja, akaulizwa unaitiwa nini akasema mimi sijui lakini nimeambiwa nahusishwa na wizi wa laptop, akaulizwa aliyekushitaki yupo wapi? Akasema sijui? Wakamwambia basi kaa hapo usubiri yeye akasema mm sina muda nina mambo yangu mengine kama yeye hayupo basi ile kabla hajamaliza akaambiwa hiyo haya vua mkanda, vua viatu, weka mazaga pale alafu kachague selo.Hahahaha unafika tu wanakwambia vua viatu, vua mkanda? Hahahaha kama utani vile ila ni ukweli mtupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu
Nimepokea simu kutoka kwa mtu anasema yuko central kitengo cha cyber na kuna namba inaonekana naongea nayo na wanataka kujua machache kuihusu
Nimewauliza ni ipi niwajibu? wamekataa wamesema niende central au niwaambie nilipo wanifate nimewajibu ntaenda kesho
Hasa hapa najiuliza niende au? maana polisi wetu hawaaminiki unaeza fika yakawa mengine
Ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hui wako ni 'Ujinga' (Sio Tusi,- Hujui)
KAMA UNAMKE NAOMBA NAMBA YAKE ASITESEKE PLSHabari wakuu
Nimepokea simu kutoka kwa mtu anasema yuko central kitengo cha cyber na kuna namba inaonekana naongea nayo na wanataka kujua machache kuihusu
Nimewauliza ni ipi niwajibu? wamekataa wamesema niende central au niwaambie nilipo wanifate nimewajibu ntaenda kesho
Hasa hapa najiuliza niende au? maana polisi wetu hawaaminiki unaeza fika yakawa mengine
Ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu
Nimepokea simu kutoka kwa mtu anasema yuko central kitengo cha cyber na kuna namba inaonekana naongea nayo na wanataka kujua machache kuihusu
Nimewauliza ni ipi niwajibu? wamekataa wamesema niende central au niwaambie nilipo wanifate nimewajibu ntaenda kesho
Hasa hapa najiuliza niende au? maana polisi wetu hawaaminiki unaeza fika yakawa mengine
Ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
I am 50+
Sijui asre,Hta mimi nawaza hilo