ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,460
- 67,430
Ameen Boss

Ameen Boss

Tena Mmalawi.Woiiii kwa house boy
Asubutuuuuuuuu

Mimi ni Mwanamke nimeolewa nina watoto wawili,ila kuna huyu house boy anaitatiza sana yaani ananivutia mnoo kwanzia body yake mimi hoi jamani namtamani kwelikweli kila nikimuona nalowa ila mume wangu ndo kikwazo ushauri tafadhali.
From a Friend.
Mapovu ruksa jameni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli hio ni shibe.
Amekaa sitting room anaangalia siri za familia hapo kishashiba wali kwa maini anamuona house boy anamtamani, wahame hapo na house boy wakapange, alipe kodi na bills zote tuone kama hilo penzi litadumu.
Shibe hiyooo.
Sent using Jamii Forums mobile app
![]()

Acha kumind vitu vidogo hivi.Waache watu wafanye yao.Mungu wao alikufa haki ya nani.Alafu hawa ndko wee mwanaume mzima na akili yako unasema nampenda....loh hapana aisee mie wacha wabakie kuwa chombo cha starehe tuu
Hahhahah ni mmalawiTena Mmalawi.
Sana yaani usipo kuwa makini unakufa kwa BP hivyo bora kujichanga

Hahahahha wale watoto bwana