Ushauri: Nimefall kwa house boy wangu

Mimi ni Mwanamke nimeolewa nina watoto wawili,ila kuna huyu house boy anaitatiza sana yaani ananivutia mnoo kwanzia body yake mimi hoi jamani namtamani kwelikweli kila nikimuona nalowa ila mume wangu ndo kikwazo ushauri tafadhali.

From a Friend.
Mapovu ruksa jameni

Sent using Jamii Forums mobile app
Fukuza mumeo haraka saan alaf mpe nafasi houseboy,,

Yaan utaenjoy mpk jino la mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza pole, hii issue mbona kama vile ni ww na umeishampa mzigo dogo! sasa kimoyo kinakusuta, endeleza tu si umempenda bana, ila kuwa makini jamaa asijue , dogo ana siri lakini?
 
Back
Top Bottom