Duniani hapa taabu tupu muda si mrefu kuna mtu alikuwa analia kuwa ni mnene afanyeje ili apungue muda huu na wewe unataka unene. Ushauri kama mwili wako ni wa wastani wewe kausha tu haina haja ya kuangakia na huo unene kwa sasa maana hauna dili kula vizuri ili uwe na afya njema na mwenye nuru tele usoni!