Ushauri: Nikitaka kutongoza najiona nipo tabaka la chini, nasitisha

Ushauri: Nikitaka kutongoza najiona nipo tabaka la chini, nasitisha

Night Watch

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2017
Posts
2,102
Reaction score
2,152
Jamani wanabodi,

Mimi nina tatizo moja, unakuta nimempenda msichana lakini nikitaka kumtongoza najikuta mimi mwenyewe kujiona niko tabaka la chini, na hivyo hupelekea kusitisha zoezi la kutaka kutongoza, hali hii imekuwa ikinisumbua mara kadhaa, je naweza kutoa fikra hizi akirini mwangu kwa njia hipi?
 
Jamani wanabodi mimi nina tatizo moja,unakuta nimempenda msichana lakini nikitaka kumtongoza najikuta mimi mwenyewe kujiona niko tabaka la chini,na hivyo hupelekea kusitisha zoezi la kutaka kutongoza,hali hii imekuwa ikinisumbua mara kadhaa,je naweza kutoa fikra hizi akirini mwangu kwa njia hipi?
tatizo hujiamini!!
amini mkuu nakuambia, madem wengi wazuri hawana watu, hii ni kwasababu wengi huwaogopa km ww

Sent From Ikulu-Magogoni street
 
tatizo hujiamini!!
amini mkuu nakuambia, madem wengi wazuri hawana watu, hii ni kwasababu wengi huwaogopa km ww

Sent From Ikulu-Magogoni street
Sawa mkuu ila sikuwahi kufikiri hili tatizo liko na watu wengi.
 
Pole sana...

Inabidi ujiamini na kujiona bora... Ukijishusha kila mtu atakushusha na kukudharau...
Itapelekea kushindwa kwenye mambo mengi..

Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom