Ushauri: Nifanye nini kufaulu mitihani ya IELTS?

Ushauri: Nifanye nini kufaulu mitihani ya IELTS?

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,685
Habarini!

Wakuu nahitaji msaada wenu, Mwezi wa 3 tarehe 21 natarajia kufanya huu mtihani wa IELTS.

Lengo langu ni kuscore 7.5+ na siwezi bila kupata muongozo wenu kwa watu waliokwisha fanya huu mtihani, au wenye idea na huu mtihani.

Je kuna mafunzo yoyote itabidi nifanyee au naweza jisomea mwenyewe na nikatoboa?

Msaada wa ushaurii na namna ya kutoboa huu mtihani nisije nikapoteza laki 5.76 hivi hivii nisipate kile nachokitaka.

Nakaribisha ushauri wenu wakuu na nitauzingatia.
 
Mkuu unapiga hizi pepa? Na mimi Nina mpango huo? Me nnachofanya nazama google halafu nazifualitia zile sample zao nafanya mazoezi..
 
Hiz paper ni ngumu hatar,jitahidi kujua kutype hasa kwenye writing

Heb just imagine; wanakuletea video clip watoto wamepita wakiwa wanacheza mpira then wakaanza kugombna,wakaanza kurushiana mawe jiwe moja likaenda likavunja kioo cha dirisha LA MTU
Mwenywe akatoka nje akaanza kuwatukana

Then unaambiwa uandike kwa kuzungu nn kimetokea hapo?

Ila mpaka utoboe lazima uzirudie sio chini ya Mara 2 au 3 ndio utapata huzo score
 
Back
Top Bottom