Anza na tanesco saa 3 make sure unawahi sana ili uwe wa kwanza kwanza kama huo uwezekano utakuepo then ukitoka hata kama unaona utachelewa weeh nenda tuu chukua bajaji/bodaboda/ungo/kimbia kuliko bolt huwezi jua siunajua saa 6 ya mwafrica unaweza ukakuta kuna uwezekano wa kufanya interview "better late than never" Mungu akutangulie.
Namshauri atumie Ungo
Habari wana JF.
Nimeitwa Interview sehemu mbili TPDC saa 6 mchana na TANESCO saa 3 asubuhi zote tarehe 6/8. Nishauri niende wapi maana siwezi kuwahi zote kutokana na miundombinu ya Dar es Salaam pamoja na suala la muda huenda 3 ikawa saa 5 kama vile waingereza huwa wanavyosema 'no hurry in Africa'.
Ahsante
Mkuu hongera kwa kuitwa kwenye interview sehemu zote mbili kwani kuna wengine hata hiyo moja hawajaitwa, ushauri wangu ni hivi jitahidi uwahi tanesco then ukitoka kama bado mapema chikua bodaboda uwahi tpdc kama saa 6 itakuwa haijafika.other wise good luck
Anza na tanesco saa 3 make sure unawahi sana ili uwe wa kwanza kwanza kama huo uwezekano utakuepo then ukitoka hata kama unaona utachelewa weeh nenda tuu chukua bajaji/bodaboda/ungo/kimbia kuliko bolt huwezi jua siunajua saa 6 ya mwafrica unaweza ukakuta kuna uwezekano wa kufanya interview "better late than never" Mungu akutangulie.
haya mambo ya kazi huwa hayatabiriki unapopadharau unashangaa ndio unaitwa,ungeweva kupeleleza hata kama ni kwenda physical kabla ya siku ya interview,hiyo ya saa 3 kama unaweza kufanyiwa hata mapema zaidi ukawa hata mtu wa kwanza na hiyo ya saa 6 ukawa hata wa mwisho kufanyiwa,na ukatafuta usafiri utakao kufikisha hizo sehemu kwa haraka hao TPDC si wako lumumba na TANESCO wako ubungo?ukapita short cuts za kariakoo,kigogo,mabibo then unaibuka ubungo
#lin TPDC ni Mikocheni na TANESCO ni Station angalia umbali huo. Thanks kwa ushauri.