Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,845
- 52,252
Mama yangu alitoka kazini akaenda kujifungua mimi, lakini leo mke wangu mimba ina miezi mitano anaamka saa saba mchana
Mimba hazifanani kabisa
Mimba yangu ya kwanza nilikuwa very active
Ya pili sasa

Nikishiba tu nalala popote
. Nikilala kitandani ananiambia ondoka nitandike. Nikihamia sebuleni ananifuata. Kuna kipindi nilienda naye kwetu alinitia aibukwani hawezi kujizuia kabisa ana anakuwa na emotions kweli.

