Ushauri: Nataka niuze Passo ninunue pikipiki ya kuendea kwenye mihanjo

Kwanini usinunue bajaji used ambayo inauzwa kati 1.8 m hadi 3.5 unapata.

Bajaji inatembea km 30 kwa lita.

Mimi nimenunua bajaji.

Mbali na ulaji mdogo wa mafuta, njiani unapata abiria.

Pikipiki hapana!
mkuu kununua used si presha ingine iyo au
 
Hiyo Passo kwanza ina shida 1L/12KM ????....unless otherwise barabara ni mbovu ...mm niko na Premio model X 1990cc inaenda 12KM Rough ....highway 13.5KM- 14KM hiyo Passo ya 990cc eti 12KM ??
 
Hiki kipasso kinaenda km 12 kwa lita ya wese. Kutoka home hadi job ni km 12 yani km 24 kama ni kwenda na kurudi.

kwaiyo nahitaji kama lita mbili hivi kila siku au shilingi 6,514 (3,257×2) kwa siku au shilingi 195,420 (3,257×2×30) kwa mwezi kwa bei ya sasa ya wese.

Nataka niachane na hiki kipasso naona kinanimaliza tu nisije kubaki mifupa mitupu mtoto wa watu mwisho nishindwe kufanya vya maana kwa kulitumikia gari.

Nimeambiwa pikipiki inaenda km 28 adi 30 kwa lita. ina maana lita moja tu inanitosha kwenda na kurudi home kila siku. inamaana kwa siku nikiwa na 6,514 au sh 97,970 natoboa mwezi vizuri tu.

Wakuu nawakaribisha kutia neno kwenye hii idea yangu mpya.

Mnaionaje?
Usikimbie gharama za maisha, ongeza vyanzo vya mapato. Vijana wenzako wanapiga hatua kwenda mbele, wewe unapiga hatua kurudi nyuma. Akili gani hiyo?
 
Hiki kipasso kinaenda km 12 kwa lita ya wese. Kutoka home hadi job ni km 12 yani km 24 kama ni kwenda na kurudi.

kwaiyo nahitaji kama lita mbili hivi kila siku au shilingi 6,514 (3,257×2) kwa siku au shilingi 195,420 (3,257×2×30) kwa mwezi kwa bei ya sasa ya wese.

Nataka niachane na hiki kipasso naona kinanimaliza tu nisije kubaki mifupa mitupu mtoto wa watu mwisho nishindwe kufanya vya maana kwa kulitumikia gari.

Nimeambiwa pikipiki inaenda km 28 adi 30 kwa lita. ina maana lita moja tu inanitosha kwenda na kurudi home kila siku. inamaana kwa siku nikiwa na 6,514 au sh 97,970 natoboa mwezi vizuri tu.

Wakuu nawakaribisha kutia neno kwenye hii idea yangu mpya.

Mnaionaje?
Pamoja na kwamba unajitangaza Kwa nguvu zote kuwa una gari lakini mabinti humu watakuambia una baby walker. So stop show off young boy, mind your business.
 
Ukiuza gari ,usinunue pikipiki Bado ni ghali,

Tembea Kwa mguu, amka saa tisa usiku, km 12 unatoboa. Utatumia maji ambayo utoka nayo home Bure kabisa.

Natania 😀

Usijibane, tafuta vyanzo vingine vya mapato, Ili uweze meet expenses zako vizuri.
Ananunua karanga za jero mdogo mdogo Hadi ofisini
 
Cheap is expensive.
Pikipiki kwa mjini ni sawa na kaburi linalotembea.
Nakushauri ukomae ni kipaso chako mkuu
 
Back
Top Bottom