Ushauri: Nataka nikaishi Ulaya

Ushauri: Nataka nikaishi Ulaya

Algeciras

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2016
Posts
349
Reaction score
330
Msaada wakuu,

Bongo kwangu tafrani,

Nimetumia kila njia kufanikiwa na kujituma sana katika maisha ya hapa Tanzania na sijafanikiwa.

Kama kusoma nina Diploma IT,
Kama biashara nishafanya bila mafanikio.

Nimeona nitafute nchi nyingine nihamie,
Niko tayari kufanya kazi yoyote huko.

Ushauri wenu wakuu niende nchi gani Ulaya ambapo ndoto zangu nitazifanikisha.
 
haya diaspora mtarajiwa nenda germany hutojutia........
 
hata Sicandnavia huto juta bali pesa yake inatosha na kuishia hapo sababu ya hali ya maisha ilivyo sio ngum wala sio lahisi
 
Kama kuna mwana JF alieishi au anakaa Europe anipe muongozo jinsi ya kufika huko na kufanya kazi.
Maisha ni Kusaidiana..
 
Mkuu Ulaya takudaganya ingelikuwa Africa ningekushauri japo kidogo. Wala haihitaji ushauri kwa jambo kama hilo, anzia tu nchi za Africa then ukajikuta unaingia Ulaya kama unateleza tu. Labda nikuulize, una familia?
 
TE="Algeciras, post: 17887669, member: 390596"]Unaweza mkuu pia kushauri,
hakika utawasaidia wengi.[/QUOTE]
Jibu swari unafamilia?
 
Msaada wakuu,

Bongo kwangu tafrani,

Nimetumia kila njia kufanikiwa na kujituma sana katika maisha ya hapa Tanzania na sijafanikiwa.

Kama kusoma nina Diploma IT,
Kama biashara nishafanya bila mafanikio.

Nimeona nitafute nchi nyingine nihamie,
Niko tayari kufanya kazi yoyote huko.

Ushauri wenu wakuu niende nchi gani Ulaya ambapo ndoto zangu nitazifanikisha.
America,UK,Australia na Canada Palo bakia bora ubaki bongo kuliko kwengineko. Ushauri 2
 
Sina familia,nina miaka 22.
Yaani miaka 22 ndio unasema umeshaangaika sana kutafuta maisha ikiwemo kufanya biashara mambo yakagoma.
Huo umri ni mdogo sana,,ninavyokuona kama vile unapenda shortcut kufikia mafanikio.[/QUOTE]

Mafanikio hayana umri maalum wala formula mkuu,
kujaribu ni moja ya njia ya mafanikio.
shortcut ya maisha ni juhudi zako na maarifa katika kutafuta mafanikio.
 
Back
Top Bottom