Ushauri:Nataka nifuge paka

paka wanapenda raha sana, sipendi paka alale kitandani kwangu(hiki kitu wanapenda sana,)
Alafu vile mtu ukikaa yeye anakuja kujisugulia kwenye miguu basi I hate hiyo tabia
Paka wa nyumbani anapenda kitanda jamani kikitandikwa anakuja analala usipotandika halalii,na ni hicho hicho kitanda habadili,akibanwa kukojoa anaenda kojoa nje anarudi lala
Asubuhi ile baridi anakuja panda kitandani anafunua blanket ili nae ajifunike mlale wote oke wako umfukuze mkali vibayaa
 
Mahitaji muhimu ya kuvuga paka.sahani ya chakula,bakuli LA maziwa,kitandiko au nguo maalum za kulalia sebulen na chumbani kwake,beseni LA mchanga kwa ajili ya yy kijisaidia.akikua utapumzika.. kubadili mchanga,dagaa wake,pia mtafutie eneo moja tu umuoneshe LA kulala na beseni lake LA kujisaidia basi..tena hapo mko wengi mtreni kumpa chakula asubuhi na usiku.kwa jirani hatokanyaga hata siku moja...MPE jina lake alijue...Wadudu wakijinga plus panya kwako ni kituo cha polisi itakua.
 
ushauri mubashara
 
Hii thread inayohusu paka nilikuwa nataka niianzishe tangu mwaka jana sema nikahisi kama watu wataona kama mimi ni katili kwa wanyama ila paka amezidi aisee, alafu home kulikuwa kuna paka ambaye tumemnunulia chombo chake special cha kulia chakula, lakni ukifika wakati wa msosi hata umuwekee yeye kwanza pembeni, lakini nyinyi mkianza kula basi kile chakula chake anakiacha anakuja kuleta fujo mezani... Ni kitu ambacho sipendi sana.. Huwa sipendi kubughudhiwa wakati wa kula,
kuna kipindi nikawa nikitaka kula naenda kumfungia chumbani, Dah kuna siku nilimfungia ndani yeye akaenda kujisaidia kwenye kona ya chumba, yaani mimi namaliza kula kwenda chumbani kumcheki namkuta kajitega.... Kilichofuatia ITV
 
Hahaha wataalamu wanasema paka akija kujisugua kwenye miguu yako eti ni ishara ya trust .
Anyway, mi mwenyewe nawapenda sana ila sio kila paka maana wengine ni wakali, wachafu na hawapendeki.. Huwezi hata kumbeba
Kuna ile tabia yao, anakuja kitandani ulipolala alafu anajilaza karibu yako, kisha tumbo lake linaanza kuunguruma...
Sijui kwanini wanapenda kulala anapolala binadamu, au hawajijui kama wao ni wanyama?
 
Mahitaji muhimu ya kuvuga paka.sahani ya chakula,bakuli LA maziwa,kitandiko au nguo maalum za kulalia sebulen na chumbani kwake,beseni LA mchanga kwa ajili ya yy kijisaidia.akikua utapumzika.. kubadili mchanga,dagaa wake,pia mtafutie eneo moja tu umuoneshe LA kulala na beseni lake LA kujisaidia basi..tena hapo mko wengi mtreni kumpa chakula asubuhi na usiku.kwa jirani hatokanyaga hata siku moja...MPE jina lake alijue...Wadudu wakijinga plus panya kwako ni kituo cha polisi itakua.
Walau umeongea mazuri ya paka
Ni viumbe wazuri kwakweli binafsi nawapenda na nimeishi nao wakati nikiwa nyumbani
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom