LL.B pale Open University ni miaka mingapi? Maana pale UDSM najua ni miaka minne. Ukichanganya na Law School ni miaka mitano.
Niliwahi kusimuliwa kwamba pale OUT ni speed yako kumaliza na eti unaweza kuisoma ndani ya miaka mitatu kama uko brilliant. je, kuna ukweli hapa.
I just wanna confirm.