Ushauri nataka kuoa

Ushauri nataka kuoa

Aisee mwanaume muoaji si huyu dadangu wala huyu asikupe definition ya ndoa kabisaaaaa!!!!!!!!

Muoaji haulizi mangi...acha bana!!!

Shukuran rafiki kumbeeee akili inazidi nikaa sawa
 
Uhayegomba kwimula umutu wa hehe,mhimakazi ningumuhindakazi,nuze gusa irwanda mulamu wachu.
 
unamaanisha nini kuendana kitabia?
Vigezo, kama ni mtu anaemfahamu na akaona ana sifa ambazo wanaendana basi asisite afuate moyo wake, sababu sidhani kama tabia inaendana na kabila bali ni mtu mwenyewe au naweza sema inategemea mtu na mtu, huwezi kujumuisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom