Cha kwanza wewe ni programmer? Au ndo unataka kujifunza? Tuanzie hapo kwanzaHabari za muda huu wadau wa JF.
Mim ni programmer, napenda kuprogram programs.
Naombeni ideas za title za project ambazo nikifanya implementation inaweza kunitoa kimaisha.
Ushauri wako ni muhimu sana kwangu.
Najua kuna watu wengi humu ambao hufanya kazi sehm tofauti tofauti hivyo wanakumbana na changamoto nyingi tofauti hususan katika mfumo ya utendaji kaz. (manually)
Kwa kunisaidia nipe hata scenario jinsi unavyofanya kazi manually.
Sina taalum ya uandishi, sorry kwa hilo ila nahisi nimeeleweka.
Natanguliza ahsante!
Karibu..
Programer anashindwa kuandika sijui mda wa programing anafanyaje..Huo uandishi mbona sio wa programmer kabisa?
Asipofwata ushauri wako basi tena..Kama ni programmer I'm surprised unakosaje matatizo ya kusolve huku yamejaa, especially bongo ambayo bado haina competition kabisa.
My advice, look around angalia unaweza fanya nini kuwarahisishia watu maisha, then start from there, kama hujui mobile app na web development nakushauri uanze kujifunza hapo, kama unajua then u can make lots of apps ambazo zinaweza kukupa pesa nzuri sana.
U dont really have to find a new idea, angalia hata nje, apps ambazo wanazo ambazo bongo hakuna then make one uifanye local.
Jiunze kuandika smart, Acha kujitetea kwa vitu ambavyo sivyo.sio kosa lako ,unashindwa kutofautisha uandish wa story na implementation za algorithm
Habari za muda huu wadau wa JF.
Mim ni programmer, napenda kuprogram programs.
Naombeni ideas za title za project ambazo nikifanya implementation inaweza kunitoa kimaisha.
Ushauri wako ni muhimu sana kwangu.
Najua kuna watu wengi humu ambao hufanya kazi sehm tofauti tofauti hivyo wanakumbana na changamoto nyingi tofauti hususan katika mfumo ya utendaji kaz. (manually)
Kwa kunisaidia nipe hata scenario jinsi unavyofanya kazi manually.
Sina taalum ya uandishi, sorry kwa hilo ila nahisi nimeeleweka.
Natanguliza ahsante!
Karibu..
Kama ni programmer I'm surprised unakosaje matatizo ya kusolve huku yamejaa, especially bongo ambayo bado haina competition kabisa.