Ushauri: Nataka kujenga nyumba kwa Shi. Milioni 27

Inasikitisha saana mkuu,,yani kila kijana anawaza kujenga.Hawawazi kuwekeza,halafu ile faida ndo aje aitumie kujenga tena bila stress.Matokeo yake wanajenga vibanda tena kwa kuunga unga na mikopo.Nyumba inafika kwenye lenta hela imekata.Anasubiri tena baada ya miaka mitano ya mkopo kuisha aende akaongezee tena..very stressful life
Umeandika utafikiri biashara hazina changamoto yani wewe utakuwa unapata faida tu ili ukajenge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom