Ushauri: Nataka kuhama kituo cha kazi, nifanyeje?

Kukudume2013

JF-Expert Member
Jan 8, 2013
1,659
730
Naomba ushauri kuna kijana wangu y Yupo, Yupo Kata Igima Wilaya Wanging'ombe Mkoa Njombe. kama Docta sasa amekaaa kule muda mrefu l sasa lakini anataka kuhama aje dar hapa .je inawezekana ?na je afanye nini ili iwe RAHISI kwake kuhama?na huko alipo anaumwa sana
 
Aombe uhamisho wa kuzingatia taratibu ambazo kwa utumishi wake muda mrefu anazijua, asitafute njia ya mkato, asitoe rushwa
 
Naomba ushauri kuna kijana wangu y Yupo, Yupo Kata Igima Wilaya Wanging'ombe Mkoa Njombe. kama Docta sasa amekaaa kule muda mrefu l sasa lakini anataka kuhama aje dar hapa .je inawezekana ?na je afanye nini ili iwe RAHISI kwake kuhama?na huko alipo anaumwa sana

Akija Dar ndio atapona?

Mwambie aendelee tu kuwahudumia Wabena kwani uhamisho awamu hii ya Msukuma ni msamiati.
 
kuhama taratibu zipo wazi,kujiamisha pia awasiliane na mwajiri wake na utaratibu anaujua...
kibali kitatolewa na tamisemi akifanikiwa,ila kwa nn dar asiseme naenda mafia nako kuna joto
 
Back
Top Bottom