Gan star
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 380
- 980
Habarni wana jamvi!
Mimi ni undegraduate wa education kwa masomo ya sanaa (Geography ad History) since 2015. Kama mnavyojua ajira za walimu wa sanaa za moja kwa moja serikalini zimefutwa na zimebaki za kubanana private, nako ni kujuana na nyingi zinahtaj eperience ya miaka kadhaa kwenye game.
Tangia hapo nilitafta kazi bila mafanikio..niliamua kutunza vyeti vyangu vizur kwa ajil ya matumizi ya badae pale itakapowezekana. Na nikaamaua kuwa mjasiriamali, nilanza kufanya biashara ya dagaa., japo hali ilikuwa ngumu, nilikomaa kibishi hadi pale nilipogota mwamba mwez wa nane this year, nilipata hasara na kupoteza karbia robo tatu ya mtaji baada ya dagaa nilizokuwa nimeanika kunyeshewa mvua ya ghafla kwa masaa kadhaa...na hvyo kuharibu bidhaa na ikapoteza thaman kwnye soko.
Katika hali ya kukata tamaa na kutafta njia ya kutokea..niliamua kumshirikisha Mwenyezi Mungu katika taabu yangu na majibu yakaja nirudi shule katika hatua ya kukubaliana na majibu niliyopata niliamua kufanya maombi chuo cha maji kwa diploma ya water lab na nikachaguliwa kabla ya muhula wa masomo kuanza nilipata wazo jingine la kuahrisha kwnda chuo badala yake nikomae tu na mtaa japo sikuwa hata na mtaji wa kueleweka.
Siku tatu kabla ya masomo kuanza kuna mzee nilikuwa napenda kupiga nae stor sana , akanikumbushia kuhusu kwnda shule...mzee alinisihi nirud shule akasema naweza baki mtaani na miaka mitatu ikapita wala sijafanya lolote ni heri nikaongeze cv....niliamua kumshirikisha Mungu tena kuhusiana na chuo cha maji..na majibu yakaja nikasome, niakawashirikisha marafki zangu wngine ni wachungaji na majibu yakaja nikasome..bas nikafungasha vitu na nikaja chuoni.
Pale chuoni wana mfuko wa kutoa mkopo niliomba mkopo bahat mbaya nikakosa nilikuwa na kias kdogo cha pesa kam laki tatu na nusu...hyo ndo nimetumia kuanzia chuo, na hela nyingine mzazi alikubali kunisaidia kdogo kdogo kwenye masomo kadri mda utakavyokuwa unasonga...kwan hana kipato kikubwa cha kuelewek nimefika chuoni nimekuta kitabu kinahtaji kukaza kwli kweli si mchezo na mimi nimezoea sh mia mia za ktaa napata tabu kweli na sasa nina miaka 26 nikiwaza marafki zangu naona wao wanaendelea tu na maisha mtaani na wanakomaa kibish...
Kwa sasa mda mwingi nawaza kuacha chuo, na nikifkria majibu ya Mwnyezi Mungu nabaki njia panda sana...nawaza huenda Mungu ameona riziki yangu ipo huku na sio kwnye elimu au ujasiriamali ninaong'ang'ania kwa sasa...naombeni ushauri wadau nafanye final decision